Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Ina maana katika vituko vyote vya Afande sele hiki kituko ndio kimeshangaza sana kuliko kile alichovua nguo na kubaki na boxer??
 
Ngoja nijarbu kukutafutia then ntaiweka hapa. Ila nakumbuka hata kwenye blog ya DJ fetty iliwekwa hii habari
HABARI NA MATUKIO: MAHOJIANO YA BW. SAMWELI TENGA AMBAYE ALIKUWA MWANACHANA WA FREEMASONS KATIKA KIPINDI CHA NJIA PANDA YA CLOUDS FM, JIJINI DAR
Hebu jaribu kupita hapa kuna saut za huyu jamaa alikuwa akzungumizia hyo ishu
Mkuu hii ya wao kutobolewa ili kupigwa muhuri ina ukweli. Cause kuna mwingine naye nimemsikia majuzi anaeleza hii.
Japo yeye hajauza unga. Ila katika initiation yao alichomwa muhuri.
 
atakapogundua kuwa na hicho anachoabudu si cha kweli ataanza kumwabudu E.N. Lowassa fisadi nyangumi
 
Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua
Amedai baada ya kufikiria muda mrefu ameona aimwabudu mungu ambaye hamwoni wala hajawi ku experience uwepo wake, na kwamba ameona kwa kua Jua ndio chanzo cha kila kitu kuanzia chakula na bidhaa zote pamoja na teknolojia hutegemea jua ambalo ndio moto, kwenye uzalishaji wake au uendeshwaji wake, pia jua lipo kila mahali basi hilo ndio litakuwa Mungu,
pia amesema ameacha wosia kuwa atakapoufa achomwe moto
msikilize hapa kwa undani zaidi


lini Afande sele aliwahi kuwa Islamu..?
 
Yeye c wa kwanza kuabudu jua tena kwa 7bu hizohizo,,, wala c wa kwanza kuabudu anachokiona ndo mana ikaja ile kauli ya
""" seeing is believing """". Pure Masonic statement ,
 
Kuna siku niliona uzi uku mwana jukwaa akieleza makao ya mungu ni kwenye jua usikute afande sele aliona ule uzi na akaamini kwasababu jamaa alishusha nondo sana
 
We mama acha ukali kama upo mwezini, USIJITIE kuleta ufundi huu mchezo hautaki hasira
si tatizo lako yamkin hata baba yako unaweza ukamfanisha na dada yako, ni tatizo la ubongo wako kukubali kuchanganywa pamoja na moshi
 
uzuri ukweli ana ujua ameamua kufanya kiburi ngoja tusubr tutaona live mwisho wake wa kikafiri kama ndicho anacho abudu
 
Back
Top Bottom