Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

e45be4886a8fbb70297d439f9d7fa53b.jpg


hhahahhaha watu mmepinda jaman dah nimecheka sana
 
nusu kama namuelewa &nusu nachukulia kama bangi zake sa sijui nikae upande gani.?
 
We ndio lofa kweli, ndio maana moro hawakukupa ubunge.
Yan ww unaamini m2 anaenda 9t club, anagowa njendani bado unamwita mtoto. Pumbav zako mfyuuuu[emoji41] [emoji35]
Kwa mujibu wa sheria mtoto ni nani?

Mtoto kukubali kulala na watu wazima hakufanyi iwe halali, if anything, mtu mzima ndo anaonekana pedophile kwa kulala na watoto.

Duniani kote ukilala na mtoto kosa ni lako mtu mzima bila kujali it was consensual sex ama lah. Mtu mzima ana common sense and is expected to act accordingly

Leo Hollywood mikataba inavunjwa left and right kwa watu wazima kulala na watoto miaka ya 70s.

Hatusemi Lulu hana kosa la kuua bila kukusudia ila Kanumba nae alikua bazazi and a pedophile. Tatizo hapa ni wabongo kuwa huruma za kipuuzi, kutaka kumuachia kila kitu Mungu na kusema marehemu hasemwi ambao nao ni upuuuzi.

Sheria haina macho.
 
Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Mkuu ukitupia na kapicha Itapendeza zaidi!
 
Afande sele katoa mtazamo wake, nyie mnachukia.

Afande kasema ukweli mtupu ila tu watu wamechukia kwa kuwa kamlaumu marehemu.
 
Kwa mujibu wa sheria mtoto ni nani?

Mtoto kukubali kulala na watu wazima hakufanyi iwe halali, if anything, mtu mzima ndo anaonekana pedophile kwa kulala na watoto.

Duniani kote ukilala na mtoto kosa ni lako mtu mzima bila kujali it was consensual sex ama lah. Mtu mzima ana common sense and is expected to act accordingly

Leo Hollywood mikataba inavunjwa left and right kwa watu wazima kulala na watoto miaka ya 70s.

Hatusemi Lulu hana kosa la kuua bila kukusudia ila Kanumba nae alikua bazazi and a pedophile. Tatizo hapa ni wabongo kuwa huruma za kipuuzi, kutaka kumuachia kila kitu Mungu na kusema marehemu hasemwi ambao nao ni upuuuzi.

Sheria haina macho.
Mkuu kwa mtu asie na familia maumivu ya kuharibiwa mtoto wake wa kike ni ngumu sana kuyahisi. Lakini tulio wazazi haya yanatuumiza sana kwa kweli
Leo unajitahidi kumhangaikia mtoto wako wa kike asome, unamfundisha maadili mema na unajitahidi kumlinda na kumuepusha na kila aina ya mabalaa lakini mtu mzima na akili zake anakuja kumrubuni. Kwa udhaifu wa mtoto wa kike kutokana na umri mdogo na uwezo mdogo wa kupambanua mambo na kufanya maamuzi anatumia 'advantage' hiyo! Kwa kweli kwa mzazi inauma sana na hakuna mzazi anaependa hili kumtokea!
Ukitaka kuujua uchungu wa jambo hili vaa uhalisia wa hili jambo limekutokea kwa mwanao ambae unapambana na hali ya maisha kumsomesha nk halafu baradhuli lisilo na haya linashindwa kabisaa au kwa makusudi linakuharibia binti. It pains so much, lazima kama jamii ikemee vikali!
Ongezeko la akina dada/mama wanaozalishwa na kuachwa 'single mothers' linakuwa kwa kasi! Jamii lazima iwajibike kukemea mambo haya! Kwa nini tuwe na kizazi cha zinaa hadi ionekane ni jambo la kawaida? Hakika zinaa ni uchafu na chukizo kwa Mwenyezi Mungu!
"Mola simamisha haki baina yao"!
 
Hivi mfano tukimsifia Adolf Hitler kwamba alipenda ona taifa lake likiendelea kwa kuwaua wayahudi tutamfanya Mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu?..
kila mtu atakula urefu wa kamba yake Kanumba amepata alichotafuta na Lulu kapata alichotafuta!..
Anyway daddy's coming rufaa usishangae kifungo kikawa miezi 2!!...
 
2D345029-9CAD-4554-AA61-8F90EF58C99D.jpeg
Nasikia kanumba alikiwa anampiga ma bapa ya upanga huyu mtoto...Mdogo wake kanumba alikuwepo nyumbani, akawagongea ili awaamulie hawakufungua.

Pia alisema palikuwa na purukushani sana humo room kwao, na kwamba ukweli wote anao lulu, ambaye kwa mujibu wake, Kanumba alidondoka akagonga kichwa some where.

Hospital walisema alipata brain concussion, ambapo ni dalili inaonyesha wazi kuwa aligonga kichwa mahali.

Baada ya kudondoka, Lulu alitoka room kuomba msaada lakini akiwa kachezea kichapo sana...hii inaonyesha wazi kwamba maisha yake yalikuwa hatarini.

Kiukweli kama haki ingetendeka, huyu mtoto alikuwa victim, ambaye maisha yake yalikuwa hatarini kwenye shambulizi lile.

Kwahiyo hatakama Kanumba hakuanguka, bali alipigwa na kitu kichwani na huyo mtoto wakati akijitetea maisha yake, bado hastahili kufungwa.

Jambo jingine, ni mahusiano ya wawili hao. Kiukweli yalikuwa kinyume kabisa haki za watoto.

Na kwahiyo, huyo mtoto alikuwa ni victim kwasababu alitumika kimapenzi na huyo mtu mzima ili amsaidie kwenye uigizaji.

Kuna maneno kayasema Afande Sele yamenigusa sana.

Sasa usikute hakimu na yeye ni kama Kova ambaye naskia aliipigia saluti maiti ya Kanumba! Jambo ambalo alitakiwa alifanye endapo tu aliyekufa ni bosi wake!

Maneno haya hapo chini ni kutoka kwa afande Sele...

“Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya toyota sera yenye milango ya kubinuka kama mabawa ya ndege anaejiandaa kuruka....Jumamosi moja ktk mwaka ule nikiwa kwenye ubora wangu wa hali ya juu na ushawishi mkuu kuliko msanii yeyote Tz nilialikwa kutumbuiza Tabata kwenye ukumbi wa Dar West uliokua maarufu sana nyakati zile...

Lkn wakati nikiwa back stage kabla sijapanda jukwaani huku usiku ukiwa umetamalaki yaani ule usiku wa manani au usiku wa manane kama wengi tulivyozoea kusema ingawa tunakosea nikashangaa nashikwa begani na mtu aliyekua nyuma yangu ambapo kulikua na watu wengi tu...nilipogeuka niangalie ninani aliyenishika bega''Hammad"nikamuona Lulu michael aliyekua bado ni bint mdogo sana ingawa tayari alikua na umaarufu si haba labda kwa sababu ya hayo maigizo yao ambayo baadae wakayaita filamu au bongo movie...nilipomuona akaniamkia kwa bashasha namimi nikaitikia huku sura yangu nikiikunja na kuwa ya kuogofya kisha nikaamuuliza kwa ukali kidogo ni kwanini yupo pale ukumbini ktk muda ule ambao kwa umri wake hakupaswa kuwepo?..

Lulu hakua na majibu ya maana na papo hapo nikamtoa nje ya ukumbi na kisha nikamtuma dereva wangu wkt ule alikua home boy wangu ephraim nguzo aka bad card amrudishe nyumbani kwao haraka na ahakikishe mama yake amempokea...

Bad alifanya hivyo kiroho safi akarejea ukumbini na akanimbia kuwa alitimiza yote niliyomuagiza ukizingatia na yeye badi tayari alikua na familia hivyo aliujua vyema uchungu wa mwana...

Lakin miezi michache baadae nikaja kupigwa butwaa baada ya kusikia kuwa et kale kabint lulu kumbe tayari kalikua na ukaribu usio wa kawaida na baadhi ya hao wasanii mabazazi wa maigizo wasiokua na utu wala aibu...niliumia sana moyoni nikiwa kama mzazi wa mtoto wa kike ninaempenda sana na kutamani kumuona akitimiza ndoto zake muhimu kwenye maisha kama kupata elimu kwa wkt muafaka...

Lakin niliumia zaid baada ya matatizo aliyoyapata lulu kupitia kanumba na kwa hakika sikua miongoni mwa waliohuzunika wala kushiriki kivyovyote ule msiba wa kanumba ingawa wkt wote wa pilika za msiba ule mimi nilikua dar tena palepale sinza msiba ulipokuwepo...

Sikutaka kuvaa joho la unafki kama ilivyo kwa waTz wengi...kwangu hata sasa kanumba ni mtu mbaya na alifanya kitendo kibaya kabisa dhidi ya bint mdogo aliyepaswa kumsaidia kufikia malengo na sio.kumtumia kwa sababu ya umaarufu wake...leo kanumba amepumzika au anapambana na Mola wake kwa kutofuata yale maandiko yasemayo kuwa'TAMAA Ikichukua Mimba Huzaa Dhambi na Dhambi Ikishakukomaa Huzaa MAUTI...

Kanumba amevuna alichopanda lkn Lulu unyonge wa kiumri na udhaifu wa kisichana vimebakia kuwa mateso ktk maisha yake...MUNGU ni mwema atamuafu Lulu amalize kifungo chake salama kama alivyompa kanumba haki ya matendo yake mabaya kwa kumlaza mapema...

Mwisho wa siku wote wawili wabarikiwe kwa kutufundisha tuliobakia ili tuchague njia sahihi za kupita....DUNIA..GUNIA...
Afande Sele”



Eti hakimu anasema sababu kubwa ni kwa kuwa Lulu ndo mtu wa mwisho kumuona Kanumba akiwa hai! What a crap reasoning!?

Kwanini hakimu hakuona kwamba kama ni kweli alikuwa amefungiwa ndani na kupigwa, basi alikuwa ni victim na maisha yake yalikuwa hatarini?

Je huyo mtoto alipokuwa amefungiwa na kupigwa, hakimu anamaanisha kwamba alitakiwa atulie akipigwa hadi kufa?

Kikawaida, issue kama hii, hakimu ama jaji anatakiwa ku consider everything ikiwemo mahusiano yao!

Kama jamaa alikuwa akimkandamiza na huku akimtumia kimapenzi, tayari hiyo ni victim! Kwanza hiyo ni “statutory rape”.

The whole situation doesn’t warrant the sentence the received!
 
Usiku huo club Lulu alikuwa na nani!!??

Nani alimruhusu awe maeneo hayo usiku huo!??

Alimgusa Afande bega kwa nia gani!?

... Afande haoni kama huyu Lulu wazazi wake walishampindisha kimaadili hata kabla ya kukutana na Kanumba!?

Kwanini ajiweke upofu na Zigo lote kumtupia Marehemu..!?

Afande anasema anamchukia marehemu mpaka sasa..!? Wewe kama nani!? Wewe Mungu!?

Mungu anasamehe... Wewe Afande ni nani!!????

wewe una miaka mingapi dada?'ebu fikiria uingiliwe ukiwa na miaka 13!?? si unaumia?

umeongea pumba, bottom line ni kuwa kanumba alikuwa mbakaji
 
hivi mtu mzima unaandikaje hivi aiseeee
Unajuwa maana ya mtu mzima we jinga? Au wewe ni walewale waliokuwa wakimuabudu Kanumba? Kwanza nina wasiwasi kama hata umesoma chochote, achilia mbali kuelewa.

Btw wewe ni askari magereza?
 
we Msen.ge Ulikua umeandika bila paragraph ndo maana nikakwambi vile quu..ma wewe
 
Hayo maandiko aliyonukuu ni ya dini gani?maana Mungu "JUA"wake hana maandiko hayo.
 
Back
Top Bottom