MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa sheria mtoto ni nani?We ndio lofa kweli, ndio maana moro hawakukupa ubunge.
Yan ww unaamini m2 anaenda 9t club, anagowa njendani bado unamwita mtoto. Pumbav zako mfyuuuu[emoji41] [emoji35]
Tupe ushuhuda mkuuAfande sele ni mnafiki sana tena ni miongoni mwa wasanii waliokuwa na roho mbaya enzi za uhai Wa sanaa yake
Mkuu ukitupia na kapicha Itapendeza zaidi!Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Tena kamdonyoa sana ile papuchi, mwisho Wa siku kaondoka na utamu wake...hakunabaliyejua kama kanumba anamdonyoa yule binti mpaka tukio lilipotokea
Embu njoo kuna kitu nataka nikupe.hhahahhaha watu mmepinda jaman dah nimecheka sana
Mkuu kwa mtu asie na familia maumivu ya kuharibiwa mtoto wake wa kike ni ngumu sana kuyahisi. Lakini tulio wazazi haya yanatuumiza sana kwa kweliKwa mujibu wa sheria mtoto ni nani?
Mtoto kukubali kulala na watu wazima hakufanyi iwe halali, if anything, mtu mzima ndo anaonekana pedophile kwa kulala na watoto.
Duniani kote ukilala na mtoto kosa ni lako mtu mzima bila kujali it was consensual sex ama lah. Mtu mzima ana common sense and is expected to act accordingly
Leo Hollywood mikataba inavunjwa left and right kwa watu wazima kulala na watoto miaka ya 70s.
Hatusemi Lulu hana kosa la kuua bila kukusudia ila Kanumba nae alikua bazazi and a pedophile. Tatizo hapa ni wabongo kuwa huruma za kipuuzi, kutaka kumuachia kila kitu Mungu na kusema marehemu hasemwi ambao nao ni upuuuzi.
Sheria haina macho.
Haaaaa haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...aseeAlivua suruali na kuonyesha kibamia chake hadharani. kweli au si kweli?
Usiku huo club Lulu alikuwa na nani!!??
Nani alimruhusu awe maeneo hayo usiku huo!??
Alimgusa Afande bega kwa nia gani!?
... Afande haoni kama huyu Lulu wazazi wake walishampindisha kimaadili hata kabla ya kukutana na Kanumba!?
Kwanini ajiweke upofu na Zigo lote kumtupia Marehemu..!?
Afande anasema anamchukia marehemu mpaka sasa..!? Wewe kama nani!? Wewe Mungu!?
Mungu anasamehe... Wewe Afande ni nani!!????
Unajuwa maana ya mtu mzima we jinga? Au wewe ni walewale waliokuwa wakimuabudu Kanumba? Kwanza nina wasiwasi kama hata umesoma chochote, achilia mbali kuelewa.hivi mtu mzima unaandikaje hivi aiseeee
Ukimfuata inbobo ITAPENDEZA ZAIDIWewe kama sii mbobevu unafanya nn hapa