Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Naskia kuna msemo unasema "no research no right to speak"Aisee ndio leo namsikia huyu shekhe, BTw Naomba radhi post yangu kama itakua haina maadili.
Just google "Sheikh kishki on Magufuli" or "sheikh kishki in Tanzania"
Huyu mtu kutokana na analofanya anayo connection kubwa sana hapa nchi kwa serikali kuanzia ya Kikwete mpaka hii iliyopo. Mlezi wa taasisi yake ni Mzee Ali Hassan Mwinyi na hufanya mashindano yake evry year na mwaka mmoja mgeni rasmi alikuwa ni Muheshimiwa Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Nadhani mwaka jana tu kwa sababu ya Corona ndio event zake hazijafanyika.
Anyway, one love mkuu!