Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
No Offense attached ✌️True, what he did was stupid!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No Offense attached ✌️True, what he did was stupid!
[emoji848]Ramli chonganishi, wanamchonganisha Afande Sele na Mungu
Sheikh mkuu wa bandali ya salama alimwambia Mange kuwa angenyamazisha na matusi yake kwa serikali. Je umesikia tena kelele za Mange Kimambi akiitukana serikali?Si mara ya Kwanza kutokea ligi za namna hii
View attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Amekuwa na jazba mno Sheikh...sijui vile nimewaona kina Mazinge pale maana wale nao wazee wa kiki!Naskia kuna msemo unasema "no research no right to speak"
Just google "Sheikh kishki on Magufuli" or "sheikh kishki in Tanzania"
Huyu mtu kutokana na analofanya anayo connection kubwa sana hapa nchi kwa serikali kuanzia ya Kikwete mpaka hii iliyopo. Mlezi wa taasisi yake ni Mzee Ali Hassan Mwinyi na hufanya mashindano yake evry year na mwaka mmoja mgeni rasmi alikuwa ni Muheshimiwa Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Nadhani mwaka jana tu kwa sababu ya Corona ndio event zake hazijafanyika.
Anyway, one love mkuu!
View attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Hakuna laana ya binadamView attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Mungu hana sababu ya kukasirika.Hili jambo ni la hatari. Linaweza shawishi mauaji to prove a point sababu ya ushindani.
Kama MUNGU amekasirika atamuadhibu kwa namna anayoona YEYE na ujumbe utafika. Si lazima kumshawishi mbele ya makamera.
Wanadamu wakikulaani na Mungu akakubariki, wanabaki midomo waziHakuna laana ya binadam
HakikaWanadamu wakikulaani na Mungu akakubariki, wanabaki midomo wazi
Gwajima anajidai kujisahaulisha kazi yake anayojisifia nayoHiyo dua wangeielekeza kumfufua Magu
Haya ndiyo Mtume aliyasema, yaani watu wajinga wajinga wanaisemea dini na kufanya maamuzi kama haya. Sasa sijui huu ujinga wameuota wapi, Mtume alikuwa anawapa nasaha na kuwaombea kheri Allah awaongoze watu hawa.View attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Huu utapeli na ujinga Waislamu hatuna.Hiyo dua wangeielekeza kumfufua Magu
Inaonekana huijui laana mzee. Siyo tu binadamu wanalaani, bali mpaka wanyama, na viumne vya baharini na miti pia hulaani.Hakuna laana ya binadam
alafu shehe kama huyo anadai anamswalia mungu! Hawa ndio watu wanaopotosha watu wa mungu na unakuta ana mijitu mingi tu nyuma inamshangilia! Ujinga ni mzigo sanakama ni ushirikina mungu wao ndiye aliyekusudiwa na afande sele? 😂😂😂