Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

2004 Sugu alikuwa majalala au alikuwa anamlipia kodi kwa mapenzi? Ngumu kumeza. Ninavyojua, way back mwaka 2001 Sugu alikuwa anawachangia washkaji nauli wasafiri. Au Sugu yupi anayesema Afande Sele?
 
kha...kha....kha.... khaaaa
kwamb chama kinalevya zaid ya bhang kwel vituko uswahln
 
Sele ana laana nani kamtoa mwwnzie kati yake na sugu sikiliza wimbo wake watu na pesa
Naota na weweseka
Natupa shuka nashtuka
Naskia sugu akiniita,akilalamika
Nauliza vipi sugu?
Anazidi kulalamika
Mziki bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka
Mwili unakosa nguvu,nahisi kama naanguka
Maana bila sugu halipo nsingefika

Mtu na pesa hiyo,sijui kama nimepatia
 
yani hyo shoga sele sku hz anatema pumba kinyams
 
Sele ana laana nani kamtoa mwwnzie kati yake na sugu sikiliza wimbo wake watu na pesa
Umeniwahi kamanda.
Ule wimbo wa Watu na Pesa ndio kamaliza kila kitu kuhusu alivyotambulishwa na Sugu kwenye game! Sikiliza na wimbo wa Sugu wa "Siku Nikianguka".
 
Mmh! Kwamba afande alikuwa anamlipia kodi sugu? Sijui lakini, labda....huenda....ila mmh! Haimezeki kirahisi hii
industry nikama mtungi na kata ..huwezi kujua yote yaliyopo ndani yake mpka uwe na sifa moja wapo ya hivyo vyombo"""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…