Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

Kumjadili jinga na vuta bangi ni kupoteza muda
 
Sana tu mku
 
Hakuna S, Bila O
L Bila O, Mwingine aitwe Thang Bila Solo
Shupavu awajibike Kama Apollo
J Afande ni Ukuta, Wapi Chochoro

Mtazamo Bonge la Wimbo Afande Sele&Solo Thang
Kwani G Solo ndo Solo thang
 
Noma na nusu huko facebookView attachment 746409
sidhani Kama kweli, mie nadhani ni hasira tu. Wakati harakati zimepamba moto, mimi kwa masikio yangu nilimsikia sugu tena wakiwa wote ktk kipindi cha the crouz cha John dilinga East Africa Radio, mwaka 2001, akisema kwa sasa nguvu nyingi nimeelekeza kwa mwanangu Afande sele ili nae asimame. wakati huo wakiutambulisha wimbo wa Afande sele wa wachakupiga mayowe.
 
Anataka aandikwe gazetini hakuna lolote
 
Alikuwa msanii ila sio maarufu Sana kama
kama afande sele, G solo pia ni mshkaji wake na sugu mpaka leo, naye Alikuwa kwenye movement ya Antivirus
Pia alikuwa mmiliki wa Kamakawa Records iliyomtoa producer mahiri Marco Chali
 
Hahaa!!! Ipo sehemu gani moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…