Afande Sele: Magufuli alikopa na kufanya makubwa, sasa hivi wanakopa na hakuna linaloonekana

Kwani hii anayokopa mama yenu (failure) italipwa na watu wa Burundi? Huoni kwamba ni bora kulipa mikopo iliyofanya kazi (ya jiwe) kuliko hii ambayo inakopwa na mama yenu bila kufanyiwa kazi.

Wewe ni mmoja wa wajinga.
Wewe ni mmoja wa wahanga wa kifo cha yule mwendakuzimu
 
Magu alikuwa na madhaifu mengi sana na roho mbaya, lakini kwenye kuwajali wananchi wenye hali duni za maisha alikuwa imara kidogo.

Kwasasa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Huwezi saidiwa na masikini, kama ulikuwa hujui basi jua kuwa umasikini ni laana. Kama wewe pia ni masikini basi jitahidi utoke huko badala ya kulia lia
 
Aiseee sukuma gang mmechanganyikiwa kabisa baada ya mungu wenu kufa
 
Hata kama ingekuwa ya kukopa,ilionekana ilichofanya. Sasa awamu hii Mwigulu Nchemba alishaifanya nchi kama yake kwa matozo meeeengiiii....hela nyingi zinakusanywa hadharani tena kwa lazima,matumizi yanafanyikia kwenye mahoteli na bar. Stupid me!!!
Yes, you are stupid indeed. Poleni sana kwa kifo cha mungu wenu
 
Poleni sana Sukuma gang kwa kufiwa na mungu wenu
 
Facts kabisa
 
Sasa wewe mchimba chumvi una mchango gani kwa taifa?
 
Hama nchi au nenda kazikwe pale karibu na kaburi lake
 
Afande Sele ana nini anachojua zaidi ya kuvuta bangi na kutumbuiza Jukwaani akiwa matako wazi? Mambo ya uchumi waachieni wachumi ndiyo watoe maoni!

Kumjadili huyo mjinga ni upumbavu tu nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…