Afande Sirro, ukimuona Lissu kama unavyomuona Magufuli kuwa wote ni wagombea Urais, basi utakuwa na amani na Lissu

Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Kigoma, alikua na ratiba ya mkoa mwingine ila alifanya mkutano kazuramimba. Mbona hakupigwa mabomu?

Anatoa rushwa ya kampeni kinyume na maadili ya uchaguzi. Unatoaje pesa za barabara wakati wa kampeni? Umemuona sirro akimkemea.

Amehutubia Kilugha sana huko kanda ya ziwa from Busega to Katoro ila mbona hajaitwa na NEC au Sirro?

Be objective mkuu, hayo sio makosa?
 
HGL Higher Government Leaders

Wengine mjenge madaraja tu wakubwa
 
Neno hilo la kujenga upendo liwafikie pia Chaku na kijana wao Mahera ili Mungu awabariki.
Mahera kwa majukumu yake ya sasa aongozwe na Mungu ili ajizuie na vishawishi vya kuchagua upande.
Msajili wa Vyama vya Siasa nae aache kulipuka kwa chuki na hasira ili Mungu amwongoze apone ili asiituharibie uchaguzi huu.
 
mimi nasubiri tarehe 31 mwezi huu nijue lissu atakuwa anaelekea belgium au atarudi kwao singida?

au atakuwa twitter akifundisha sheria namna ya kukataa wito polisi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sirro tii kiapo usitii maagizo toka mgombea wewe unatii mamlaka halali toka kwa wananchi walichoamua...huna mamlaka kuchagua nani awe Rais ...just be fair ....utashinda ....!! Acha unafiki wala kujikomba
 
Hawa watawala wamejisahau sana,. Wanaendelea kuwachokonoa wananchi. Hajui kuwa umma ni sawa tu na "kifutu hatari" aliyesinzia
 
Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Ila nimekupuuza sana kumbe wewe yehodaya ni mjinga kiasi hiki kama in rais anagombea nn si akae huko ikulu anashinda anapiga magoti huko ya nn kama ni rais
 
Yote haya afande Sirro anayaelewa vizuri.

Unamweleza mtu anayefanya kazi aliyopangiwa kuifanya.

Asipoifanya au akaonekana anaifanya si atakuwa yeye sio mtu wa shukrani kwa fadhira alizopewa?

Lililo muhimu hapa, ni kwa waTanzania kufahamu maana ya manyanyaso haya anayofanyiwa Lissu, na waamue kwa umoja wao kuyakataa.

Lissu amedhalilishwa sana, tokea huko nyuma. Sasa waTanzania tukatae kwa pamoja aina hii ya utawala wa kunyanyasa wasiokubaliana nao.
 
lissu hanyanyaswi na mtu,msikuze mambo.

lissu anachokoza watu,halafu shield yake ni ujuzi wa sheria.

huo sio ujanja ni uhuni.
 
+Mtoa mada umesema ukweli muono wa sirro kwa magufuli kwa muono huo huo ndio amuone nao lissu na mgombea yoyote yule wa urais HE SHOULD BEAR EQUAL RIGHT TO BOTH ITS SIMPLE kama jinsi hulka za kibinadamu hili linakuwa kumu kwa sababu human tumeumbwa na utashi kwa pale ambapo panayalinda maisha yyetu
 
lissu hanyanyaswi na mtu,msikuze mambo.

lissu anachokoza watu,halafu shield yake ni ujuzi wa sheria.

huo sio ujanja ni uhuni.
"Kuchokoza watu" ndio kufanya nini?
Amevunja sheria? Kama kavunja sheria fuata taratibu zilizowekwa ili aadhibiwe ikithibitika kavunja sheria.

Unapokuwa unapigia kelele pembeni, nje ya taratibu wewe utakuwa unamnyanyasa na kumtisha huyo unayemlalamikia.
 
Yaani wewe umetumia PCM kama kigezo cha thinking capability ya mtu...unaijua PCM wewe? Hivi umeamua kuwadhalilisha Wapcm?wewe hujui wala hujawahi kusoma hyo Combination..kama PCM yako ni kipimo cha hekima na busara..Mwlm Nyerere alisoma PCM?? Msiandike ujuha humu!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…