zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kigoma, alikua na ratiba ya mkoa mwingine ila alifanya mkutano kazuramimba. Mbona hakupigwa mabomu?Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Anatoa rushwa ya kampeni kinyume na maadili ya uchaguzi. Unatoaje pesa za barabara wakati wa kampeni? Umemuona sirro akimkemea.
Amehutubia Kilugha sana huko kanda ya ziwa from Busega to Katoro ila mbona hajaitwa na NEC au Sirro?
Be objective mkuu, hayo sio makosa?