Sirro asijisahau sana , Omary Mahita aliyekuwa IGP wa Tanzania na ambaye rekodi yake ya Ukatiri bado haijavunjwa , baada ya kustaafu aliburuzwa mahakamani kwa tuhuma za aibu za kumjaza mimba house girl wa nyumbani kwake mwenyewe na kuruka matunzo ya mtoto , ccm aliyoipigania haikuwahi kumuokoa na fedheha hiyo ,bado tungali tunachunguza kama alimbaka huyo binti baada ya kumtishia kwa silaha au kama walikubaliana
Baada ya aibu hii Mahita alijaribu kuwahadaa Waislam wa Morogoro kwa kujenga msikiti , lakini Waislam wanaoswali kwenye msikiti huo haramu hawazidi watano , hii ni baada ya waislam wa Morogoro kukataa kutumika kumtakatisha Mahita mbele za Allah kwa "ubakaji" wake , Mungu wabariki watukufu waislam wa Morogoro