Afande Sirro, ukimuona Lissu kama unavyomuona Magufuli kuwa wote ni wagombea Urais, basi utakuwa na amani na Lissu

Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.

Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!

Kazi yako itakuwa rahisi.
Ushauri mzuri lakini.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya...
Mgombea Urais na Rais
Mropokaji na Mtendaji
HGL, HKL na PCM
Mpenda sifa na Mtu asie jikweza.

Sasa tafuta ujue Lissu yupo kundi gani.
Mtu kasoma HGL anataka kutusumbua sisi. Hebu muambieni Urais sio kubwabwaja tu. Yeye amefanyia jimbo lake nini mpaka leo tumuamini kuwa Rais. Kila siku ana lazimisha kuwa nilazima awe Rais kwani hizo kura anajipigia mwenyewe au yeye ni Mungu mpaka alazimishe watu kuwa yeye ndie Rais iwe isiwe.
Mkumbusheni wanaopiga kura na kuamua ni Watanzania so ASITUFOKEE.

Bado ninatafuta mahali ambapo Lissu amenadi wa BUNGE na MADIWANI wa chama chake akiwa kwenye mikutano yake.
Hapa ndio ninafikia na kuona kuwa huyu mtu hayupo serious kabisa ana umimi mwingi sana ndio maana sioni sera zake zikiwa na mashiko zaidi ya kutuonyesha Ungwini wake tu.
Watanzania hatutaki sheria..... Sheria ibakie kwako na ndugu zako sisi tunataka KIONGOZI anae toa sera zinazotekelezeka.
Samahani .
Huna uwezo wa jambo lolote kichwani kwako hapo. Zero
 
Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.

Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!

Kazi yako itakuwa rahisi.
Huu mwaka ni mbaya kwa ccm walizoea kuiba kura,lissu amesema atakubali kama kashindwa kwa haki sio dhuluma za ded,dc,rc
 
Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.

Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!

Kazi yako itakuwa rahisi.
Jambo ambalo Ccm hawaja gundua ni kwamba vyombo vya usalama, NEC, Msajili na wenzao wamesha ona jahazi la Ccm limezama.. Hivyo wana mpigia kampeni Lissu na Chadema. Kampeni sio lazima kushangiliwa tuu hapa pale dola inapo mnyanyasa Lissu inasaidia watu kuvutiwa na Lissu kutaka kujua ni kitu gani kipo mbele ya hayo manyanyaso.
Inapogundulika ni manyanyaso hapo mahaba hugeukia Chadema.. Go Lissu goooooo....
 
Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Na kule kigoma ratiba ya magufuli ilimtaka awe kule au unataka avunje Sheria ipi ndo ujue kuwa amevunja??????
 
Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.

Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!

Kazi yako itakuwa rahisi.
IGP feki an imposter .
Screenshot_20201002-080051.png
Screenshot_20201002-080121.png
 
Lissu hana hadhi ya kuwa Rais.Ikungi kulimshinda ataweza nchi. Pesa za jimbo kule ikungi kazitafuna halafu leo anataka nini. Hapana kwa Lissu, hapana kwa Chama cha Mbowe, hatutaki kugeuzwa saccos.
What about 1.5 trillion? ndiyo maana ukiwa CCM unakuwa kichwa mtupu
 
Jambo ambalo Ccm hawaja gundua ni kwamba vyombo vya usalama, NEC, Msajili na wenzao wamesha ona jahazi la Ccm limezama.. Hivyo wana mpigia kampeni Lissu na Chadema. Kampeni sio lazima kushangiliwa tuu hapa pale dola inapo mnyanyasa Lissu inasaidia watu kuvutiwa na Lissu kutaka kujua ni kitu gani kipo mbele ya hayo manyanyaso.
Inapogundulika ni manyanyaso hapo mahaba hugeukia Chadema.. Go Lissu goooooo....
Wanakosa mtu wa kuwashauri na wanafuatilia anachokitaka Jiwe. Ndiyo anazama hivyo!
 
Crap crap crap, lisu atafungwa baada a 28.10.2020 maana ni pandikizi la mabeberu. Hao waliovunjiwa ni wajinga wajinga, maana walinunua maeneo ya hifadhi ya barabara, tena wajinga mno ilikuwa vizuri wabomolewe kabisa ili wajue kufuata sheria
 
Anaugua au anapata magonjwa kama uuguavyo wewe; anakula ugali kama ulavyo wewe; anakunya mavi chooni kama uvyavyo wewe; anajamba kama ujambavyo wewe; anacheka kama uchekavyo wewe nk no
Ujumbe mzuri!
 
Crap crap crap, lisu atafungwa baada a 28.10.2020 maana ni pandikizi la mabeberu. Hao waliovunjiwa ni wajinga wajinga, maana walinunua maeneo ya hifadhi ya barabara, tena wajinga mno ilikuwa vizuri wabomolewe kabisa ili wajue kufuata sheria
Ufe usiku huu ugongwe na gari
 
kuchokoza watu hujui ni kufanya nini??

nenda ita mtu mjinga wewe.halafu utamuuliza akueleze umevunja sheria ipi mpaka akusawazishe hiyo kichwa yako.

narudia tena hakuna anayetishwa.
Kumwambia mjinga kuwa yeye ni mjinga ni kumchokoza?
Mbona mwenyewe hapo ni mjinga?
 
kakazwe huko,mtu keshalimwa block la wiki huko,nendeni mkamtetee sio kukaa unatafuta hang out hapa.
Kwa mtu asiye na kitu kichwani kama wewe, utaona 'keshalimwa block'.

Usilojua ni kwamba hizo siku saba ni kama 'bonus' kwa kampeni yake.
 
si ataongezwa baada ya campaign kwisha hiyo bonus,hamna tatizo.
 
Sirro asijisahau sana , Omary Mahita aliyekuwa IGP wa Tanzania na ambaye rekodi yake ya Ukatiri bado haijavunjwa , baada ya kustaafu aliburuzwa mahakamani kwa tuhuma za aibu za kumjaza mimba house girl wa nyumbani kwake mwenyewe na kuruka matunzo ya mtoto , ccm aliyoipigania haikuwahi kumuokoa na fedheha hiyo ,bado tungali tunachunguza kama alimbaka huyo binti baada ya kumtishia kwa silaha au kama walikubaliana

Baada ya aibu hii Mahita alijaribu kuwahadaa Waislam wa Morogoro kwa kujenga msikiti , lakini Waislam wanaoswali kwenye msikiti huo haramu hawazidi watano , hii ni baada ya waislam wa Morogoro kukataa kutumika kumtakatisha Mahita mbele za Allah kwa "ubakaji" wake , Mungu wabariki watukufu waislam wa Morogoro
Kwa hiyo bado mnamchunguza mpaka leo?
 
Back
Top Bottom