Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mbona Sabaya anawajibishwa na hakuna anayemtetea?Mambo mengine akili itumike. Simkubali JPM wala m-CCm yoyote maana hawaaminiki. Ila, tuache uhuni. Malisa namhemshimu kwa harakati zake za kusaidia jamii, lakini kuna wakati anajichomoa betri na kupoteza credibility aliyojijengea kwa kuandika ndombolo.
Watanzania ni watu wa ajabu sana, leo hii hawa akina Mwigulu, na wengineo walafi wa hii nchi, siku ikatokea wakawajibishwa utashangaa akili ya watanzania itakavyobadilika na kuanza kuwatetea na kumsema vibaya aliyewawajibisha. Tutaendelea kutiwa vidole na CCM kwa akili hizi.
Sasa ndugu suala la Sabaya si liko wazi uovu wake ni transparent mpaka footages zinamuonyesha. Na una hakika hakuna wasiomtetea licha ya ushahidi wote wa kimazingira? Au suala la utetezi lina carry weight wakitetea watu wa upinzani na wanajamii?Mbona Sabaya anawajibishwa na hakuna anayemtetea?
Mathayo 15 : 10 - 20.Acha kwanza kula kitimoto ili upate kibali cha kuwa na maono ya rohoni la sivyo endelea tu kuwa upande wa shetani sababu unakaidi kutii maagizo yake Mungu
Mambo ya Walawi 11.