Viungo vya binadamu visiposhughulishwa kwa muda mrefu, vinaharibika!. Zamani kulikiwa na jela za giza, wale wafungwa wakisha achiwa wanakuwa blind.
Wafungwa wa vifungo virefu, wanapaswa kupewa haki iitawayo , conjugal visit, ili kuvipa mazoezi vile viungo!. Mandela hakupewa haki hii!., ila hata sisi Tanzania, haki hiyo ipo vitabuni lakini wafingwa hawapewi, huku kwetu haki hiyo wanapewa mahabusu tuu, yule Blaza wangu alipoisikia, alishangaa sana!, akapiga marufuku,
mimi nikashauri
Mfungwa ni Binadamu na Haki si hisani! Conjugal Visit sio Starehe, ni Haki halali na stahiki ya Mfungwa!
Hivyo kufuatia Mandela kukosa haki hiyo, baada ya kuachiwa, ikawa hawezi mechi ndefu, yeye kidogo tuu kashiba huku mke ana njaa. Ikawa kila baada ya mlo, Winnie hutoka nje kwenda vyumba vya ma bodyguards kumshibisha!, tatizo likawa sio bodyguard mmoja, mabodyguards wakaanza kugombea!, Taarifa zikafika ofisini, ofisi ikaingilia, kuzuia. Mamaa akafikia stage akawa anatoka nje kwenda kununua, hivyo kumuaibisha Mzee. Mzee akawa hapewi tena chakula ni vi benten vinapishana!. Mzee akaamua bora kumruhusu kuliko kumuaibisha!.
Winnie ili kujitetea akadai huyo sio yule Mandela aliyeingia jela, Mandela halisi alikuwa ni bonge la mchezaji anapiga bonge la show, lakini hiyu ni hakuna kitu!!, hivyo sio yule, amenadilishwa!.
Kiukweli Mandela ni yule yule.
P