G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
NyaanokoMagufuli analaana za wengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NyaanokoMagufuli analaana za wengi sana.
Ni nani huyoo.. Mbona hajatajwa jina!!No Mandela alimsamehe Winnie, kilichofanya wakatengana na hadi kutalikiana, ni issue nyingine ilitojitokeza baada ya Mandela kuachiwa na sio issues za usaliti akiwa jela.
P
PA very touching story.
JPM hakusiki na hicho kilichotokea ndio maana yuko mbinguni kwa Baba yake Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Huyo ilitakiwa anyongwe kwa ufisadi alioifanyia nchi hii.Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu kuvurugika na maisha kuwa magumu alimpata "Sponsor" aliyekubali kulea watoto wawili wa jamaa akiwa jela.
Ni "sponsor" huyohuyo aliyelipia gharama za mawakili waliomtetea jamaa hadi kuachiwa huru. Sponsor alitunza familia ya jamaa, akamlipia mawakili, akahakikisha watoto wake wanaendelea kusoma English Medium na hawarudi shule za Kayumba. Akamfungulia mke wa jamaa biashara ya saloon ili aweze kujikimu kwa mahitaji madogo, akamnunulia gari.
Jamaa alipotoka alipata depresion ya maisha, ndoa, uchumi etc. Washkaji zake tulijitahidi kumrudisha sawa lakini it was a locomotive process. Mke alijitetea kwamba yaliyotokea hakukusudia. Aliahidi kukatiza mahusiano na "sponsor" na badala yake watawasiliana kwenye malezi ya mtoto tu. Lakini somo hilo lilikua gumu kwa jamaa.
Jamaa alikua muongeaji sana kabla ya kufungwa. Lakini baada ya kutoka jela akawa mtu mkimya na asiyependa kutoka. Mara zote hujifungia ndani akiwaza na kusoma vitabu. Washkaji zake tuligundua yupo kwenye msongo. Kuporomoka kwa uchumi na kuyumba kwa ndoa yake vilimuumiza sana. Tukaweka utaratibu wa kumtembelea mara kwa mara, kumtia moyo na mara chache kutoka nae out japo kwa kumlazimisha.
Kuhusu mtoto tulimwambia kitanda hakizai haramu. Kuhusu uchumi tulimwambia ajipe moyo atarecorver kwani hayo ni mapito tu. Tulikua tayari kumchangia mtaji kidogo ili aanze kujipanga upya.
Jana nikapata taarifa kuwa ameanguka bafuni. Inadaiwa alipata stroke na mishipa ya kichwa kupasuka. Damu ikavilia kwenye ubongo, akapoteza fahamu. Akakimbizwa hospitali lakini alipofikishwa, madaktari wakasema si yeye bali ni mwili wake tu. Malaika Israel alimtwaa njiani kabla ya kufika hospitali.
Nimeumia sana. Pumzika kamanda. Siku zako nje ya jela zimekua NGUMU SANA kuliko ulipokua jela. Naamini umemsamehe mkeo. Naamini pia umemsamehe JPM aliyevuruga maisha yako na familia yako. Lala salama mwamba. Tutaonana baadae.! [emoji24][emoji24]
Malisa GJ
Huyo ndungu yenu amepata anacho stahiki kwa ubadhirifu alioifanyia nchi hii.P
Kama Buza kutakuwa na mbingu kweli atakuwa. Amepumzika kwa Lulenge.
Ameenda na wengi sana....ni kipindi kisichosahaulika.Ila bas tuNaamini pia umemsamehe JPM aliyevuruga maisha yako na familia yako.
Wamekufanya nnWanawake,wanawake.....[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] ni MASHETANI KATAENI NDOA
Kwa mujibu wa story ya jamaa hpo juu [emoji115][emoji115]Wamekufanya nn
Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu kuvurugika na maisha kuwa magumu alimpata "Sponsor" aliyekubali kulea watoto wawili wa jamaa akiwa jela.
Ni "sponsor" huyohuyo aliyelipia gharama za mawakili waliomtetea jamaa hadi kuachiwa huru. Sponsor alitunza familia ya jamaa, akamlipia mawakili, akahakikisha watoto wake wanaendelea kusoma English Medium na hawarudi shule za Kayumba. Akamfungulia mke wa jamaa biashara ya saloon ili aweze kujikimu kwa mahitaji madogo, akamnunulia gari.
Jamaa alipotoka alipata depresion ya maisha, ndoa, uchumi etc. Washkaji zake tulijitahidi kumrudisha sawa lakini it was a locomotive process. Mke alijitetea kwamba yaliyotokea hakukusudia. Aliahidi kukatiza mahusiano na "sponsor" na badala yake watawasiliana kwenye malezi ya mtoto tu. Lakini somo hilo lilikua gumu kwa jamaa.
Jamaa alikua muongeaji sana kabla ya kufungwa. Lakini baada ya kutoka jela akawa mtu mkimya na asiyependa kutoka. Mara zote hujifungia ndani akiwaza na kusoma vitabu. Washkaji zake tuligundua yupo kwenye msongo. Kuporomoka kwa uchumi na kuyumba kwa ndoa yake vilimuumiza sana. Tukaweka utaratibu wa kumtembelea mara kwa mara, kumtia moyo na mara chache kutoka nae out japo kwa kumlazimisha.
Kuhusu mtoto tulimwambia kitanda hakizai haramu. Kuhusu uchumi tulimwambia ajipe moyo atarecorver kwani hayo ni mapito tu. Tulikua tayari kumchangia mtaji kidogo ili aanze kujipanga upya.
Jana nikapata taarifa kuwa ameanguka bafuni. Inadaiwa alipata stroke na mishipa ya kichwa kupasuka. Damu ikavilia kwenye ubongo, akapoteza fahamu. Akakimbizwa hospitali lakini alipofikishwa, madaktari wakasema si yeye bali ni mwili wake tu. Malaika Israel alimtwaa njiani kabla ya kufika hospitali.
Nimeumia sana. Pumzika kamanda. Siku zako nje ya jela zimekua NGUMU SANA kuliko ulipokua jela. Naamini umemsamehe mkeo. Naamini pia umemsamehe JPM aliyevuruga maisha yako na familia yako. Lala salama mwamba. Tutaonana baadae.! [emoji24][emoji24]
Malisa GJ
Mkuu hapo hebu kidogo tuweke sawa maana mengi yanayosemwa kuhusu Mandlea kuachana na mkewe. Wapo wanaosema kiwa Winnie alistuka kuwa yule waliemuachia sio Mandela halisi bali ni mtu mwengine. Hebu tusaidie hapa.No Mandela alimsamehe Winnie, kilichofanya wakatengana na hadi kutalikiana, ni issue nyingine iliojitokeza baada ya Mandela kuachiwa na sio issues za usaliti akiwa jela.
P
Sasa JPM yeye anaingiaje hapo!? Mjifunze kutiii Sheria bila ya shuruti na mtaishi kwa amani tu, na ukiamua kuvunja Sheria basi kuwa tayari kupambana na mkono wa Sheria! Sheria haipingwi ndg yangu!! Na nyinyi Kama Marafiki zake wa karibu kwa nini mlishindwa kumtunza Shemeji yenu hadi akaangukia mikononi mwa huyo Sponsor!? Na unaweza kuta huyo anaejiita sponsor hizo pesa alizipata kwa huyo huyo Mwanamke baada Mume kwenda Jela!Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu kuvurugika na maisha kuwa magumu alimpata "Sponsor" aliyekubali kulea watoto wawili wa jamaa akiwa jela.
Ni "sponsor" huyohuyo aliyelipia gharama za mawakili waliomtetea jamaa hadi kuachiwa huru. Sponsor alitunza familia ya jamaa, akamlipia mawakili, akahakikisha watoto wake wanaendelea kusoma English Medium na hawarudi shule za Kayumba. Akamfungulia mke wa jamaa biashara ya saloon ili aweze kujikimu kwa mahitaji madogo, akamnunulia gari.
Jamaa alipotoka alipata depresion ya maisha, ndoa, uchumi etc. Washkaji zake tulijitahidi kumrudisha sawa lakini it was a locomotive process. Mke alijitetea kwamba yaliyotokea hakukusudia. Aliahidi kukatiza mahusiano na "sponsor" na badala yake watawasiliana kwenye malezi ya mtoto tu. Lakini somo hilo lilikua gumu kwa jamaa.
Jamaa alikua muongeaji sana kabla ya kufungwa. Lakini baada ya kutoka jela akawa mtu mkimya na asiyependa kutoka. Mara zote hujifungia ndani akiwaza na kusoma vitabu. Washkaji zake tuligundua yupo kwenye msongo. Kuporomoka kwa uchumi na kuyumba kwa ndoa yake vilimuumiza sana. Tukaweka utaratibu wa kumtembelea mara kwa mara, kumtia moyo na mara chache kutoka nae out japo kwa kumlazimisha.
Kuhusu mtoto tulimwambia kitanda hakizai haramu. Kuhusu uchumi tulimwambia ajipe moyo atarecorver kwani hayo ni mapito tu. Tulikua tayari kumchangia mtaji kidogo ili aanze kujipanga upya.
Jana nikapata taarifa kuwa ameanguka bafuni. Inadaiwa alipata stroke na mishipa ya kichwa kupasuka. Damu ikavilia kwenye ubongo, akapoteza fahamu. Akakimbizwa hospitali lakini alipofikishwa, madaktari wakasema si yeye bali ni mwili wake tu. Malaika Israel alimtwaa njiani kabla ya kufika hospitali.
Nimeumia sana. Pumzika kamanda. Siku zako nje ya jela zimekua NGUMU SANA kuliko ulipokua jela. Naamini umemsamehe mkeo. Naamini pia umemsamehe JPM aliyevuruga maisha yako na familia yako. Lala salama mwamba. Tutaonana baadae.! [emoji24][emoji24]
Malisa GJ
Watanzania wengi wana tatizo la umasikini wa Akili!!Mambo mengine akili itumike. Simkubali JPM wala m-CCm yoyote maana hawaaminiki. Ila, tuache uhuni. Malisa namhemshimu kwa harakati zake za kusaidia jamii, lakini kuna wakati anajichomoa betri na kupoteza credibility aliyojijengea kwa kuandika ndombolo.
Watanzania ni watu wa ajabu sana, leo hii hawa akina Mwigulu, na wengineo walafi wa hii nchi, siku ikatokea wakawajibishwa utashangaa akili ya watanzania itakavyobadilika na kuanza kuwatetea na kumsema vibaya aliyewawajibisha. Tutaendelea kutiwa vidole na CCM kwa akili hizi.
Wwe lazima utakua mwizi pia, ndiyo maana unamchukia Magufuli!!Magufuli analaana za wengi sana.
100%Mambo mengine akili itumike. Simkubali JPM wala m-CCm yoyote maana hawaaminiki. Ila, tuache uhuni. Malisa namhemshimu kwa harakati zake za kusaidia jamii, lakini kuna wakati anajichomoa betri na kupoteza credibility aliyojijengea kwa kuandika ndombolo.
Watanzania ni watu wa ajabu sana, leo hii hawa akina Mwigulu, na wengineo walafi wa hii nchi, siku ikatokea wakawajibishwa utashangaa akili ya watanzania itakavyobadilika na kuanza kuwatetea na kumsema vibaya aliyewawajibisha. Tutaendelea kutiwa vidole na CCM kwa akili hizi.
Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne.