Afariki baada ya kuanguka chooni kwa kupigwa stroke

Afariki baada ya kuanguka chooni kwa kupigwa stroke

Magufuli analaana za wengi sana.
Kwani yy ndo aliekwenda kumkamata? Au yy ndo alimweka ndani?
Hii ni kauli ya mtu ambe hajawahi kuwa kiongozi mahala popote...Ungekua kiongozi ungekua na idea how the chain of command works, and how vitu vinaweza kufanyika huku chini ww usijue na km ukijua unatapa summary(big picture) bila kua na specifcs...
Yule mzee asingeweza ku order or kujua every details za every arrest in this country, this is a county of 60+m people.
Lets argue like Great Thinkers, people who think Outside the box.
 
Ukiwa jela ni muhimu kujiandaa kwa taarifa zozote utakazokutana nazo ukiwa huru.
 
Sponsa goli lipo wazi.Sio mda nae sponsa ataingia mitini kwa sababu ngono isiyo ya kuiba si tamu.
 
Hizo biashara zake huyo jamaa zilikuwa hazijulikani na mkewe ni za siri au mwanamke alishindwa kuziensesha ? Au yote kwa pqmoja? . Tatizo hasa linaanzia hapo
 
Mkuu hapo hebu kidogo tuweke sawa maana mengi yanayosemwa kuhusu Mandlea kuachana na mkewe. Wapo wanaosema kiwa Winnie alistuka kuwa yule waliemuachia sio Mandela halisi bali ni mtu mwengine. Hebu tusaidie hapa.
Viungo vya binadamu visiposhughulishwa kwa muda mrefu, vinaharibika!. Zamani kulikiwa na jela za giza, wale wafungwa wakisha achiwa wanakuwa blind.

Wafungwa wa vifungo virefu, wanapaswa kupewa haki iitawayo , conjugal visit, ili kuvipa mazoezi vile viungo!. Mandela hakupewa haki hii!., ila hata sisi Tanzania, haki hiyo ipo vitabuni lakini wafingwa hawapewi, huku kwetu haki hiyo wanapewa mahabusu tuu, yule Blaza wangu alipoisikia, alishangaa sana!, akapiga marufuku,
mimi nikashauri Mfungwa ni Binadamu na Haki si hisani! Conjugal Visit sio Starehe, ni Haki halali na stahiki ya Mfungwa!

Hivyo kufuatia Mandela kukosa haki hiyo, baada ya kuachiwa, ikawa hawezi mechi ndefu, yeye kidogo tuu kashiba huku mke ana njaa. Ikawa kila baada ya mlo, Winnie hutoka nje kwenda vyumba vya ma bodyguards kumshibisha!, tatizo likawa sio bodyguard mmoja, mabodyguards wakaanza kugombea!, Taarifa zikafika ofisini, ofisi ikaingilia, kuzuia. Mamaa akafikia stage akawa anatoka nje kwenda kununua, hivyo kumuaibisha Mzee. Mzee akawa hapewi tena chakula ni vi benten vinapishana!. Mzee akaamua bora kumruhusu kuliko kumuaibisha!.

Winnie ili kujitetea akadai huyo sio yule Mandela aliyeingia jela, Mandela halisi alikuwa ni bonge la mchezaji anapiga bonge la show, lakini hiyu ni hakuna kitu!!, hivyo sio yule, amenadilishwa!.
Kiukweli Mandela ni yule yule.
P
 
Ukioa oa mwanamke mwenye akili,achana na hawa warembo empty set...

Ni aibu mwanamke kushindwa kusimamia biashara za mumewe mwisho wa siku anabaki kuwa mdangaji...
Na mume kashakufa hakika atatumika sana.
 
Viungo vya binadamu visiposhughulishwa kwa muda mrefu, vinaharibika!. Zamani kulikiwa na jela za giza, wale wafungwa wakisha achiwa wanakuwa blind.

Wafungwa wa vifungo virefu, wanapaswa kupewa haki iitawayo , conjugal visit, ili kuvipa mazoezi vile viungo!. Mandela hakupewa haki hii!., ila hata sisi Tanzania, haki hiyo ipo vitabuni lakini wafingwa hawapewi, huku kwetu haki hiyo wanapewa mahabusu tuu, yule Blaza wangu alipoisikia, alishangaa sana!, akapiga marufuku,
mimi nikashauri Mfungwa ni Binadamu na Haki si hisani! Conjugal Visit sio Starehe, ni Haki halali na stahiki ya Mfungwa!

Hivyo kufuatia Mandela kukosa haki hiyo, baada ya kuachiwa, ikawa hawezi mechi ndefu, yeye kidogo tuu kashiba huku mke ana njaa. Ikawa kila baada ya mlo, Winnie hutoka nje kwenda vyumba vya ma bodyguards kumshibisha!, tatizo likawa sio bodyguard mmoja, mabodyguards wakaanza kugombea!, Taarifa zikafika ofisini, ofisi ikaingilia, kuzuia. Mamaa akafikia stage akawa anatoka nje kwenda kununua, hivyo kumuaibisha Mzee. Mzee akawa hapewi tena chakula ni vi benten vinapishana!. Mzee akaamua bora kumruhusu kuliko kumuaibisha!.

Winnie ili kujitetea akadai huyo sio yule Mandela aliyeingia jela, Mandela halisi alikuwa ni bonge la mchezaji anapiga bonge la show, lakini hiyu ni hakuna kitu!!, hivyo sio yule, amenadilishwa!.
Kiukweli Mandela ni yule yule.
P

Mkuu P.

With due respect, hii ina kila harufu ya ‘stories za vijiweni’.
 
Wezi wote lazima wakomeshwe, Kuna siku Hawa kina makamba watapitishwa kwenye Moto, mtakuja hapa kuwaonea huruma
Mafukara na maskini mna urithi wa roho mbaya kutoka kwenye familia zenu maskini.
 
afu mbaya zaid jamaa kurud mtaan anakuta kipande cha sabun 950 wakat huo aliacha 150 ,unga kg 1 unauzwa 2000 wkat huo ilikuwa 500 kwann asikufe na hela hana
 
Sasa hivi anang'ara katika mioyo ya Watanzania. Hakika wanakariri maneno yake kama Sala."mtanikumbuka kwa mazuri" kipofu tu ndio hataona mazuri yake. Hebu tembea mtaani kwa makini usikilize jinsi watu wanavyomkumbuka.
Hivi unadhani magu angekuwa hai ningekaa mwezi mzima bila maji ya dawasa kutoka bombani??? Ni kweli binafsi namkumbuka sana tu
 
Hakuna raisi, mfalme, mtawala yeyeto tangu kuumbwa kwa dunia ambaye yupo mbinguni wote wapo kuzimu, sababu awakutenda haki,Mungu aliwapa uongozi wakautumia vibaya kumchukiza Mungu.

Mkuu WERRA, kiongozi aliyezungumzwa hapo sio JPM, ni JKN, hata hivyo kuzimu sio motoni, jehanum, kuzimu ni pulgatory, watu walioko kuzimu ni wale wanaadhibiwa kisha wanaingia peponi. Hata JPM, sio lazima kuwa aliingia peponi siku ile ile aliyoondoka, alianzia kuzimu ndipo akaingia peponi!, hata Yesu, alipokufa pale msalabani, alishukia kuzimu, ndipo akafufuka siku ya 3!. Hivi tunavyo zungumza usikute marais wetu wote 3, saa hizi wako peponi, mbinguni kwa Baba!, hao wengine, sikuambiwa ila JPM, nimeambiwa yuko peponi!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Mkuu P.

With due respect, hii ina kila harufu ya ‘stories za vijiweni’.
Its true inaweza kuwa ni stories tuu za vijiweni, ila kuvunjika ndoa ya Mandela na Winnie is a fact, the cause ya kuvunjika kwa ndoa hiyo is an open secrect, hivyo some stories za vijiweni zina ukweli!.
P
 
Back
Top Bottom