Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Kambini kwao ndo wanajifanya wajanja, kila siku tuna wabonda bar huku Arusha
 
kuna mwengine sasa akipanda boda hata nauli ya boda hatoi
 
wanajeshi ni ile kombati inawatia kiburi tu, hawana lolote. Ukikomaa nae unamzibua vzr sana.
 
ni kweli kabisa,nilishaisikia hii
 
kuna mwengine sasa akipanda boda hata nauli ya boda hatoi
mwanajeshi wa hivo akija huku kwetu lazma wahuni wamfumue marinda, hatutakagi upumbavu.

Kama ni kupigwa atapigwa kama mwizi afu akaite wenzake nao wafumuliwe marinda, hatuwezi kubembeleza wapumbavu kwa jina la mwanajeshi, kwetu ni marufuku.
 
huko kuna msimamo safi utasikia kijana si hapo tu kwanza mafuta hata hajaendi kivile kwa boda mimi mwenyewe si naendesha ukiweka ya buku 5 unapiga ruti hadi basi
 
Sasa kuku anakupelekea unyongwe, hata ukiwaeleza watoto wako Baba yenu ananyongwa kwa kuibiwa kuku mmoja sidhani km watawaelewa
 
Wanajeshi tunawachekea sana. Kuna watu unakuta wanakaa wanasifia hivi vitendo vyao vya kishenzi.
Tatizo ukiwabutua wanakuja kundii kikosi kizimaa
Ingekuwa mnamalizana wenyewe kwa wenyewe
Wangeisoma nambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…