Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Ni muda sahihi sasa wa Jamii kuanza kutotukuza uovu wao na kuwachukulia ni kama wavunjasheria wengine tu
Ndo maana kashikiliwa kama muuaji,anafukuzwa Kazi kisha anapandishwa kizimbani akajitete.
 
Kwanini aliiba kuku?

Watu wanaushahidi kwamba alipigwa na kulazimishwa kula sementi na akafa, wewe unaushahidi kama aliiba kuku, acha upumbavu kwenye maisha ya watu angekuwa babaako ungeongea huo ujinga wako.
Hatakama aliiba haokuku, kuku shingapi na uhai sh:ngapi, kwanini hakumpeleka polisi??.

Juha mmoja wewe.
 
Upumbavu wa mtu mmoja msilihusishe jeshi akutumwa na jeshi
unajua nini shida haya matukio sio kwamba hili ndiyo la kwanza yanatokea mengi huko mtaan likipata kutangazwa na vyombo vya habar kama hivi ni bahati na ni machache
 
unajua nini shida haya matukio sio kwamba hili ndiyo la kwanza yanatokea mengi huko mtaan likipata kutangazwa na vyombo vya habar kama hivi ni bahati na ni machache
Mnadili nae binafsi muhusika
 
Huwezi kuta askari aliyekulia mjini akawa ajaelimika wengi huwa waliokuja mjini wakubwa au walipata Kazi kwa kubebwa ndo ufanya hayo
 
Pole muhanga kwa yaliokukuta. Ila nsio ivyo hauwezi wafanya chochote
Sasa huyo Muwaji tayari anashikiliwa na Jeshi la Police, Sasa hapo huoni kua hakuna aliye juu ya sheria hata Kama wwe ni mlinzi wa amani ukivunja Sheria na ukaripotiwa lazima tutakushuhulika tu kwa mujibu wa Sheria!!
 
Sasa kwel kuiba tena kuku ndiyo unamfanyia mwenzako hivyo kwel
Isitoshe mtu mwenyewe mzee mwenye miaka 65 halafu pia ni mlevi.
Kuna kesi nyingine ni za kujitakia, hapo ajira anapoteza na jela ataenda kwa sababu tu ya kuku ambae thamani yake haizidi 15,000/-
 
Halafu Mimi siyo mjeda wala siyo mlinzi Kwa namna yoyote Ile. Kwa hiyo usidhani natetea maslahi yoyote hapa mahali.

Nachosema ni kile kile; Tuacheni dharau Kwa hawa watu! Siku moja itakuja mtaelewa!
Nao waache dharau, Jeshi lolote kazi inaisha wakati wowote hasa kama sio ofisa kama huyo koplo kama ukizingua kwenye nidhamu.

Asante
Ngerengere si ndio makomandoo wanapopikwa? Kwahiyo askar tena komando unaua kwasababu ya kuku?
Ngerengere kuna vikosi zaidi ya hicho. Komando ni 92 KJ
 
Isitoshe mtu mwenyewe mzee mwenye miaka 65 halafu pia ni mlevi.
Kuna kesi nyingine ni za kujitakia, hapo ajira anapoteza na jela ataenda kwa sababu tu ya kuku ambae thamani yake haizidi 15,000/-
kwa maeneo hayo na sio msimu wa sikukuu hiyo 15 unaweza pata kuku 2 kabisa
 
Back
Top Bottom