King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 675
Kambini kwao ndo wanajifanya wajanja, kila siku tuna wabonda bar huku Arushahuyo mwanajeshi alikutana na mzee, angekutana na kijana wa kawaida tuuu, mbona angenyonywa mavi. Angepigwa mpaka akawachukue wenzake kambini.
kuna mwanajeshi alijifanya kuleta kiburi eti kisa kavaa kombati ya jeshi, kuna kajamaa kalimpa kichapo cha kufa mtu, mpaka likaenda kushtaki kwa wenzake kambini.
wanajeshi hawana kitu ni kama mlenda tuu, ukikomaa naye unamzibua vzr tuu mpaka anapagawa.