sasa raia wake tokea lini akawa adui yake halafu sasa huyo jamaa ameiba kuku kalishwa keki ya saruji mwanajeshi angeiba huyo kuku wala asingefanywa chochote kileKinachowaudhi wanajeshi, ni vile wanateseka Kwa mazoezi usiku na mchana Kwa utayari kukulinda wewe muda wote na roho zao zikiwa mikononi, halafu wewe unayelindwa unawafanyia madharau! Hizo adhabu huwa ni tafsiri ya ujumbe jinsi gani huwafanya adui wa Taifa letu
sasa raia wake tokea lini akawa adui yake halafu sasa huyo jamaa ameiba kuku kalishwa keki ya saruji mwanajeshi angeiba huyo kuku wala asingefanywa chochote kile
Ndo muache dharau za kishenzi sasa! Halafu mwanajeshi hawaibi! Wanachukua![emoji3][emoji3]sasa raia wake tokea lini akawa adui yake halafu sasa huyo jamaa ameiba kuku kalishwa keki ya saruji mwanajeshi angeiba huyo kuku wala asingefanywa chochote kile
huko Congo kulikuwa na mambo kama haya,siku waasi walipofika wananchi wakajiunga na waasi wakaanza kuwachoma moto wanajeshi wao kwa kuwavika tairi za moto wakiwa uchiNi muda sahihi sasa wa Jamii kuanza kutukuza uovu wao na kuwachukulia ni kama wavunjasheria wengine tu
mh Joannah kweli hata akiwana mpunga kama wa Bill GatesSijui kwa nini siwapendi Hawa viumbe,,yaani hata mwanaume akiwa handsome, educated,mstaarabu au ana mafanikio kiasi gani sitaki kabisa mazoeo nao....sijui huwa wanajionaga Nani yaani
Hali ya hewa tu inajionyesha msingekua mnalalamika ovyo hapakwa maana hiyo wabara waoga na wazanzibar ni majasiri
thamani ya kuku imekuwa kubwa kuliko binadamu.Kwanini aliiba kuku?
Umesomeka....Hawa jamaa hua wanajiona kama sheria haziwahusu vile,naomba mamlaka zimshughulikie Barabara!
Kwaio bara nzima wakurya tu ndo wagumu nyie mlobaki ndo mnaonewa?Kwa hiyo wazanzibar nyie ni majasiri kuliko bara kwa wakurya?
Raia mtaongea Mambo mengi Sana, lakini ieleweke Mwanajeshi siyo Raia Kama wewe!kwa hiyo raia ndiye anaiba ila yeye ana chukua kwa sababu ya gwanda au
yan kwa hofu waliyo nayo raia kwa hawa watu unaweza kuta mwanajeshi anatembea kabisa na mke wa raia na raia anajua na anatulia tuli kama hajui kinachoendelea vile dah hii hofu cjui itaisha lini huku uraianiNdo muache dharau za kishenzi sasa! Halafu mwanajeshi hawaibi! Wanachukua![emoji3][emoji3]
saruji sio poa,miaka ya 2004-5 kuna mama mmoja masikini alifiwa mumewe so hakuwa na pesa ya kulipia mortuary ikabidi aupake cement mwili wa mumewe tumboniYaani huyo ni muuaji wa kudhamiria,unajua kabisa ukimpa mtu saruji Ni lazima atakufa halafu wewe unampa...huyu ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
naunga mkono hoja 100%Tunalaani vikali hicho kitendo cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukiukwaji wa haki za binadamu sheria ifate mkondo wake na muhusika afikishwe mahakamani. Ni lazima mkuu wa nchi akemee kwa ukali hivi vitendo!
duh ana akili sana huyo mwanamkesaruji sio poa,miaka ya 2004-5 kuna mama mmoja masikini alifiwa mumewe so hakuwa na pesa ya kulipia mortuary ikabidi aupake cement mwili wa mumewe tumboni
ule mwili haukuharibika kwa siku kama tatu
Tumewafanya mengi sana mkuu kwenye anga zetu pia.Utawafanya nini sasa?!!! Omba usiingie anga zao!