lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
- Thread starter
- #61
sasa raia wake tokea lini akawa adui yake halafu sasa huyo jamaa ameiba kuku kalishwa keki ya saruji mwanajeshi angeiba huyo kuku wala asingefanywa chochote kileKinachowaudhi wanajeshi, ni vile wanateseka Kwa mazoezi usiku na mchana Kwa utayari kukulinda wewe muda wote na roho zao zikiwa mikononi, halafu wewe unayelindwa unawafanyia madharau! Hizo adhabu huwa ni tafsiri ya ujumbe jinsi gani huwafanya adui wa Taifa letu