Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Kinachowaudhi wanajeshi, ni vile wanateseka Kwa mazoezi usiku na mchana Kwa utayari kukulinda wewe muda wote na roho zao zikiwa mikononi, halafu wewe unayelindwa unawafanyia madharau! Hizo adhabu huwa ni tafsiri ya ujumbe jinsi gani huwafanya adui wa Taifa letu
sasa raia wake tokea lini akawa adui yake halafu sasa huyo jamaa ameiba kuku kalishwa keki ya saruji mwanajeshi angeiba huyo kuku wala asingefanywa chochote kile
 
Sijui kwa nini siwapendi Hawa viumbe,,yaani hata mwanaume akiwa handsome, educated,mstaarabu au ana mafanikio kiasi gani sitaki kabisa mazoeo nao....sijui huwa wanajionaga Nani yaani
 
Yaani huyo ni muuaji wa kudhamiria,unajua kabisa ukimpa mtu saruji Ni lazima atakufa halafu wewe unampa...huyu ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa

Ndo muache dharau za kishenzi sasa! Halafu mwanajeshi hawaibi! Wanachukua![emoji3][emoji3]
 
Ni muda sahihi sasa wa Jamii kuanza kutukuza uovu wao na kuwachukulia ni kama wavunjasheria wengine tu
huko Congo kulikuwa na mambo kama haya,siku waasi walipofika wananchi wakajiunga na waasi wakaanza kuwachoma moto wanajeshi wao kwa kuwavika tairi za moto wakiwa uchi
 
Sijui kwa nini siwapendi Hawa viumbe,,yaani hata mwanaume akiwa handsome, educated,mstaarabu au ana mafanikio kiasi gani sitaki kabisa mazoeo nao....sijui huwa wanajionaga Nani yaani
mh Joannah kweli hata akiwana mpunga kama wa Bill Gates
 
Tunalaani vikali hicho kitendo cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukiukwaji wa haki za binadamu sheria ifate mkondo wake na muhusika afikishwe mahakamani. Ni lazima mkuu wa nchi akemee kwa ukali hivi vitendo!
 
Ndo muache dharau za kishenzi sasa! Halafu mwanajeshi hawaibi! Wanachukua![emoji3][emoji3]
yan kwa hofu waliyo nayo raia kwa hawa watu unaweza kuta mwanajeshi anatembea kabisa na mke wa raia na raia anajua na anatulia tuli kama hajui kinachoendelea vile dah hii hofu cjui itaisha lini huku uraiani
 
Yaani huyo ni muuaji wa kudhamiria,unajua kabisa ukimpa mtu saruji Ni lazima atakufa halafu wewe unampa...huyu ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa
saruji sio poa,miaka ya 2004-5 kuna mama mmoja masikini alifiwa mumewe so hakuwa na pesa ya kulipia mortuary ikabidi aupake cement mwili wa mumewe tumboni
ule mwili haukuharibika kwa siku kama tatu
 
Tunalaani vikali hicho kitendo cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukiukwaji wa haki za binadamu sheria ifate mkondo wake na muhusika afikishwe mahakamani. Ni lazima mkuu wa nchi akemee kwa ukali hivi vitendo!
naunga mkono hoja 100%
 
Back
Top Bottom