Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Wanajeshi tunawachekea sana. Kuna watu unakuta wanakaa wanasifia hivi vitendo vyao vya kishenzi.
Halafu sasa huwezi kukuta afisa wa jeshi ana akili mbovu hivyo, utakuta ni kuanzia koplo na private tu , ambao wao elimu ni ndogo na uelewa bali kila kitu ni nguvu tu!!
 
kwa maana hiyo ni sahihi huyo mwanajeshi alivyofanya??
Usiniwekee maneno kinywani Kaka! Kwa Bahati mbaya hakuna aliyefanya uchunguzi kujua ukweli wa kilichosemwa! Lakini nasisitiza, Raia tuache dharau Kwa hawa jamaa, wanapitia Mambo magumu mno kuhakikisha Taifa liko salama!
 
Kupitia mambo magumu kila mtu anayapitia tuu! Isiwe kigezo cha kuonea watu au kumnyanyasa mtu kisa we ni shupavu!
 
Usiniwekee maneno kinywani Kaka! Kwa Bahati mbaya hakuna aliyefanya uchunguzi kujua ukweli wa kilichosemwa! Lakini nasisitiza, Raia tuache dharau Kwa hawa jamaa, wanapitia Mambo magumu mno kuhakikisha Taifa liko salama!
Hakuna raia anaye mdharau mwanajeshi kwanza sio mwanajeshi tu sio uungwana kabisa kumdharau binadamu mwenzako
 
Hakuna kitu kama hicho, kwani polisi, hayi majukumu hawana?tatizo ni elimu tu na uelewa mbona huwezi kumkuta afisa wa jeshi kuanzia nyota moja anafanya upuuzi kama huo?wengi utakuta ni hawa private form 4 leavers , na mwisho wa siku utahukumiwa ki vyako tena sio kijeshi siku hizi ni mahakama za kawaida, huo ushamba ulikuwaga ni miaka ya zamani, siku hizi hakuna!!wewe fanya tu lakini mkono wa sheria upo!!
 
yan kwa hofu waliyo nayo raia kwa hawa watu unaweza kuta mwanajeshi anatembea kabisa na mke wa raia na raia anajua na anatulia tuli kama hajui kinachoendelea vile dah hii hofu cjui itaisha lini huku uraiani
Yaani utadhani Babu zetu walivyokuwa wanawaogop wakoloni,,,ifike mahali watanzania tuipige Vita hii hofu khaaa
 
Then kinachowapa kujihamini ni gwanda na ID yake.akinyang'anywa hizo akawa Raia tu anakua mweupe unajipigia tu.
Halafu Mimi siyo mjeda wala siyo mlinzi Kwa namna yoyote Ile. Kwa hiyo usidhani natetea maslahi yoyote hapa mahali.

Nachosema ni kile kile; Tuacheni dharau Kwa hawa watu! Siku moja itakuja mtaelewa!
 
kama siku hizi wanahukumiwa kiraia hiyo safi sana itasaidia sana
 
Halafu Mimi siyo mjeda wala siyo mlinzi Kwa namna yoyote Ile. Kwa hiyo usidhani natetea maslahi yoyote hapa mahali.

Nachosema ni kile kile; Tuacheni dharau Kwa hawa watu! Siku moja itakuja mtaelewa!
nikajua we ni miongoni mwao[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…