Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu sasa huwezi kukuta afisa wa jeshi ana akili mbovu hivyo, utakuta ni kuanzia koplo na private tu , ambao wao elimu ni ndogo na uelewa bali kila kitu ni nguvu tu!!Wanajeshi tunawachekea sana. Kuna watu unakuta wanakaa wanasifia hivi vitendo vyao vya kishenzi.
Najua umenielewahivi hawa mapot ni wakina nani hasa
Usiniwekee maneno kinywani Kaka! Kwa Bahati mbaya hakuna aliyefanya uchunguzi kujua ukweli wa kilichosemwa! Lakini nasisitiza, Raia tuache dharau Kwa hawa jamaa, wanapitia Mambo magumu mno kuhakikisha Taifa liko salama!kwa maana hiyo ni sahihi huyo mwanajeshi alivyofanya??
Kupitia mambo magumu kila mtu anayapitia tuu! Isiwe kigezo cha kuonea watu au kumnyanyasa mtu kisa we ni shupavu!Usiniwekee maneno kinywani Kaka! Kwa Bahati mbaya hakuna aliyefanya uchunguzi kujua ukweli wa kilichosemwa! Lakini nasisitiza, Raia tuache dharau Kwa hawa jamaa, wanapitia Mambo magumu mno kuhakikisha Taifa liko salama!
Hapo si upo nyuma ya keyboard? Sasa siku ufanye ujinga halafu useme umeonewa!Kupitia mambo magumu kila mtu anayapitia tuu! Isiwe kigezo cha kuonea watu au kumnyanyasa mtu kisa we ni shupavu!
Hakuna raia anaye mdharau mwanajeshi kwanza sio mwanajeshi tu sio uungwana kabisa kumdharau binadamu mwenzakoUsiniwekee maneno kinywani Kaka! Kwa Bahati mbaya hakuna aliyefanya uchunguzi kujua ukweli wa kilichosemwa! Lakini nasisitiza, Raia tuache dharau Kwa hawa jamaa, wanapitia Mambo magumu mno kuhakikisha Taifa liko salama!
Kama umeshazoea kunyanyasa watu ipo siku yaja kama si hapa duniani hata akhera! We endelea!Hapo si upo nyuma ya keyboard? Sasa siku ufanye ujinga halafu useme umeonewa!
Then kinachowapa kujihamini ni gwanda na ID yake.akinyang'anywa hizo akawa Raia tu anakua mweupe unajipigia tu.[emoji106][emoji106]
Hakuna kitu kama hicho, kwani polisi, hayi majukumu hawana?tatizo ni elimu tu na uelewa mbona huwezi kumkuta afisa wa jeshi kuanzia nyota moja anafanya upuuzi kama huo?wengi utakuta ni hawa private form 4 leavers , na mwisho wa siku utahukumiwa ki vyako tena sio kijeshi siku hizi ni mahakama za kawaida, huo ushamba ulikuwaga ni miaka ya zamani, siku hizi hakuna!!wewe fanya tu lakini mkono wa sheria upo!!Kinachowaudhi wanajeshi, ni vile wanateseka Kwa mazoezi usiku na mchana Kwa utayari kukulinda wewe muda wote na roho zao zikiwa mikononi, halafu wewe unayelindwa unawafanyia madharau! Hizo adhabu huwa ni tafsiri ya ujumbe jinsi gani huwafanya adui wa Taifa letu
Yaani utadhani Babu zetu walivyokuwa wanawaogop wakoloni,,,ifike mahali watanzania tuipige Vita hii hofu khaaayan kwa hofu waliyo nayo raia kwa hawa watu unaweza kuta mwanajeshi anatembea kabisa na mke wa raia na raia anajua na anatulia tuli kama hajui kinachoendelea vile dah hii hofu cjui itaisha lini huku uraiani
Halafu Mimi siyo mjeda wala siyo mlinzi Kwa namna yoyote Ile. Kwa hiyo usidhani natetea maslahi yoyote hapa mahali.Then kinachowapa kujihamini ni gwanda na ID yake.akinyang'anywa hizo akawa Raia tu anakua mweupe unajipigia tu.
kama siku hizi wanahukumiwa kiraia hiyo safi sana itasaidia sanaHakuna kitu kama hicho, kwani polisi, hayi majukumu hawana?tatizo ni elimu tu na uelewa mbona huwezi kumkuta afisa wa jeshi kuanzia nyota moja anafanya upuuzi kama huo?wengi utakuta ni hawa private form 4 leavers , na mwisho wa siku utahukumiwa ki vyako tena sio kijeshi siku hizi ni mahakama za kawaida, huo ushamba ulikuwaga ni miaka ya zamani, siku hizi hakuna!!wewe fanya tu lakini mkono wa sheria upo!!
Kwanza we unawaona Wana akili za kupata hizo pesa?mh Joannah kweli hata akiwana mpunga kama wa Bill Gates
nikajua we ni miongoni mwao[emoji848][emoji848]Halafu Mimi siyo mjeda wala siyo mlinzi Kwa namna yoyote Ile. Kwa hiyo usidhani natetea maslahi yoyote hapa mahali.
Nachosema ni kile kile; Tuacheni dharau Kwa hawa watu! Siku moja itakuja mtaelewa!