Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

tuanzie hapo kwenye mafunzo ya kuua ya kujiuliza huwa wanafundishwa kuua nani,wakati gani na kwa nini anafikia hadi hatua ya kuua??

kutoa roho ya mtu sio jambo jepesi kuua mtu sio kama kichinja kuku unajichagulia tu leo nitaua yule pale mwekundu
Nani kafundishwa kuua raia wake, huyo nae hajielewi
 
Mm nawakubali watu wa Nachingwea, kila siku kulikuwa na ngumi kati ya raia na wanajeshi kumbuka Nachingwea kuna kambi nne hapo mjini, wananchi wameonewa sana ikabidi nao waunde task force, wamepgana sana mpaka serikali wakaingilia kati, sasa hivi full kuheshimiana hakuna cha unanijua mm nan wala nn
heshima imetaradadi safi kabisa
 
huyo mwanajeshi alikutana na mzee, angekutana na kijana wa kawaida tuuu, mbona angenyonywa mavi. Angepigwa mpaka akawachukue wenzake kambini.

kuna mwanajeshi alijifanya kuleta kiburi eti kisa kavaa kombati ya jeshi, kuna kajamaa kalimpa kichapo cha kufa mtu, mpaka likaenda kushtaki kwa wenzake kambini.

wanajeshi hawana kitu ni kama mlenda tuu, ukikomaa naye unamzibua vzr tuu mpaka anapagawa.
 
kumbe kuna wachovu pia
 
Back
Top Bottom