Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

Wivu wa kijinga,Mungu atamuuliza nani kakuiita huku???
 
Sidhani kama atahukumiwa kwa tendo Hilo. Maana ni mume ana stahiki zote. Ila huku duniani ndio itabaki kuwa aibu mbele za watu kwa kumuona amefanya tendo la kujitakia.
Kumbuka mtu haukumiwi Kwa matendo ya mwingine, atakuhukumiwa Kwa matendo yake
 
Kumekuchaaaaa!!
Mapenzii na hekahekaa zakeeeee!!
Apumzike anakostahili!!
 
Hiyo heshima mnayoitafuta. Ndiyo hiyo baadhi yenu mnaitumia kama udhaifu kwa hao wanawake. ..mwengine unaweza mpa hiyo heshima na akazid kucheat kwa kuwa anajua huna cha kufanya, atakugeuza kama samaki tu.. ni wanaume baadhi wanaojitambua, kuona kuwa heshima ya mwanamke kumfanya yeye akatulia. Dawa ni kumuignore tu. Huku ukijikita ktk maombi.
Nakazia, ignore&piga goti kwa Mungu tu....the rest ni uongo
 
Barikiwa sana,,, naomba ukawaeleze hayo Walau Mabinti 10 tu,,, utakuwa umeokoa ndoa nyingi sana hapa Mjini...

HESHIMA ndio kitu pekee kilichokosekana kwa Mabinti wengi wa siku hizi,,,, Japo wengi hawajui kuwa hawana heshima...

Blame Society

Tusaidiane kukumbushana
Kizazi kigumu hiki
 
Tuacheni tufurahie maisha jamani,nimekupa cheo cha mke kinatosha,acha nifurahie pesa zangu
 
Hiyo heshima mnayoitafuta. Ndiyo hiyo baadhi yenu mnaitumia kama udhaifu kwa hao wanawake. ..mwengine unaweza mpa hiyo heshima na akazid kucheat kwa kuwa anajua huna cha kufanya, atakugeuza kama samaki tu.. ni wanaume baadhi wanaojitambua, kuona kuwa heshima ya mwanamke kumfanya yeye akatulia. Dawa ni kumuignore tu. Huku ukijikita ktk maombi.

Ni kweli usemavyo lakini kuna ile heshma ambayo ukiitoa kwa mwenza wako linakua darasa tosha la kumfanya yeye akupende na kukuthamini

Ile heshma ya kusimama kwenye nafasi ya usaidizi. Namaanisha usaidizi na sio kuwa hasara/ liability kwenye mahusiano

Hakuna mtu anaanzisha project akataka ivurugikie njiani, kila anayeanzisha project anatamani kufika malengo
 
Wanawake watu wa ajabu sana sisi wanaume kwa mujibu wa utafiti chuo kikuu Havard kwa mwaka tunatembea na wanawake wanne kajitakia kifo
 
Ni kweli ila mwanamke akiwa na heshima hata niki cheat ntajitahidi usijue na itakua mara chache sana ukilinganisha na ukiwa hauna heshima.
Sijasema mwanamke asitoe heshima,, atoe tu. Lkn aangalie sehemu anapotoa hiyo heshima yake..lakini kuignore ni nzuri sana,, itaepusha mambo mengi katika ndoa. Kama huyo amekufa kwa sbb ya presha yake, ameshindwa kujicontrol na kuchukua maamuzi sahihi.
 
View attachment 2361364

Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake.

View attachment 2361383

Alisema tukio lililohusisha gari la Toyota Highlander lililotokea katika Barabara Kuu ya Muritala Mohammed huko Calabar liligharimu maisha ya dereva wa kike ambaye alitoka nje ya barabara na kuingia kwenye mtaro kando ya barabara.

Maneno yake : "Ingawa mwanamke huyo alikimbizwa mara moja katika hospitali ya karibu, lakini ilisemekana alifariki dakika chache baadaye kutokana na jeraha alilolipata kutokana na tukio hilo."

Imeelezwa kuwa mwanamke huyo alikuwa anamfukuza mumewe ambaye alidaiwa kuwa na "side chick" kwenye gari lake kisha akashidnwa kulidhibiti gari lake na kupinduka kwenye harakati hizo.

=====================

Maikano Hassan, Sector Commander of the Federal Road Safety Corps (FRSC) in Cross River, has confirmed a single incident that killed a middle-aged woman in Calabar on Sunday while she was pursuing her husband over his “mistress.”

The incident was caused by overspeeding, according to the Sector Commander who spoke on Sunday night.

He stated that an accident involving a Toyota Highlander on the Muritala Mohammed Highway in Calabar claimed the life of the lone female driver, who veered off the road and into a ditch by the road.

“Though the woman was immediately rushed to a nearby hospital, she was said to have died a few minutes later due to the injury sustained from the incident,” he says.

It was gathered that the woman was said to be in pursuit of her husband who was alleged to be with a “side chick” in his car when she lost control of her vehicle , killing herself in the process.

A source who didn’t want her name in print stated that woman sighted her husband leaving SPAR shopping Mall in the company of another female when she tried to block her husband’s car with the Toyota Highlander she was driving in.

“Her husband was said to have maneuvered his vehicle out of the attempted blockade then took the Murtala Muhammed highway, with his wife is serious pursuit.

“In a bid to outrun her husband, she lost control of the speeding vehicle, veered off the road and slammed the vehicle, head long, into a tree, damaging the vehicle beyond repairs and also killing herself,” the source revealed.

METRO
SEEE 😢😢😢😢
 
Back
Top Bottom