Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

Wivu wa kijinga,Mungu atamuuliza nani kakuiita huku???
 
Sidhani kama atahukumiwa kwa tendo Hilo. Maana ni mume ana stahiki zote. Ila huku duniani ndio itabaki kuwa aibu mbele za watu kwa kumuona amefanya tendo la kujitakia.
Kumbuka mtu haukumiwi Kwa matendo ya mwingine, atakuhukumiwa Kwa matendo yake
 
Kumekuchaaaaa!!
Mapenzii na hekahekaa zakeeeee!!
Apumzike anakostahili!!
 
Nakazia, ignore&piga goti kwa Mungu tu....the rest ni uongo
 
Barikiwa sana,,, naomba ukawaeleze hayo Walau Mabinti 10 tu,,, utakuwa umeokoa ndoa nyingi sana hapa Mjini...

HESHIMA ndio kitu pekee kilichokosekana kwa Mabinti wengi wa siku hizi,,,, Japo wengi hawajui kuwa hawana heshima...

Blame Society

Tusaidiane kukumbushana
Kizazi kigumu hiki
 
Tuacheni tufurahie maisha jamani,nimekupa cheo cha mke kinatosha,acha nifurahie pesa zangu
 

Ni kweli usemavyo lakini kuna ile heshma ambayo ukiitoa kwa mwenza wako linakua darasa tosha la kumfanya yeye akupende na kukuthamini

Ile heshma ya kusimama kwenye nafasi ya usaidizi. Namaanisha usaidizi na sio kuwa hasara/ liability kwenye mahusiano

Hakuna mtu anaanzisha project akataka ivurugikie njiani, kila anayeanzisha project anatamani kufika malengo
 
Wanawake watu wa ajabu sana sisi wanaume kwa mujibu wa utafiti chuo kikuu Havard kwa mwaka tunatembea na wanawake wanne kajitakia kifo
 
Ni kweli ila mwanamke akiwa na heshima hata niki cheat ntajitahidi usijue na itakua mara chache sana ukilinganisha na ukiwa hauna heshima.
Sijasema mwanamke asitoe heshima,, atoe tu. Lkn aangalie sehemu anapotoa hiyo heshima yake..lakini kuignore ni nzuri sana,, itaepusha mambo mengi katika ndoa. Kama huyo amekufa kwa sbb ya presha yake, ameshindwa kujicontrol na kuchukua maamuzi sahihi.
 
SEEE 😢😢😢😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…