Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Kundi F ndo lakufa hapa hayo mengine kawaida tu
 
Kocha akichagua wachezaji sahihi na kupanga kikosi vizuri (sio kama ya kule Lesotho) na morali ya vijana ikiwa juu huenda tukatoa ushindani kwa hao miamba.
Nikweli,then saizi kuingia next stage ni rahisi maana best losser ukishinda game moja na sare unaweza kupita
 
Wabongo msituumizie Sadio Mané wetu tu. Maana wakina Yondani wanavyopenda sifa wasijekutunyima uhondo wa EPL.

Sent using my Nokia Torch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…