Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Hamna kitu hapo
Ni Morocco na Cote d'ivoire wanapita kiulaini kbs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapo
Hamna kitu hapo
Ni Morocco na Cote d'ivoire wanapita kiulaini kbs
Ata hao Morroco tulijipigiaga tatu hapo kwa Mkapa..Ao sauz ata sisi tulijipigiaga ..apo morroco na ivory kost uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. nazani Afcon tuta anza kuzoea kufuzu, kwa Mkapa kumekua machinjioni. Simba imechagiza hili, bila kupepesa tuwe wa kweli.
Hehehehe ngoja gongowazi wakusikie...Hahaa.. nazani Afcon tuta anza kuzoea kufuzu, kwa Mkapa kumekua machinjioni. Simba imechagiza hili, bila kupepesa tuwe wa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. nazani Afcon tuta anza kuzoea kufuzu, kwa Mkapa kumekua machinjioni. Simba imechagiza hili, bila kupepesa tuwe wa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. mkuu wewe una wa provoke, mimi nimetumia tone ya kizalendo wewe unaleta maneno ya Manara.
Mi nadhani bora tuanze na Senegal kuliko Algeria, hao nadhani watatufanya hicho ukisemachoKitu pekee watanzania tukipasacho kufanya ni kuomba tusianze game yetu na senegal.
Tutapokea kichapo ambacho tutakata tamaa hata mechi zijazo kuzicheza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuuUpo sahihi kabisa mkuu
Tukipata mechi nzuri za majaribio
Hasa Mali, Ivory coast, Guinea na Tunisia
Zinatosha kutujenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli,then saizi kuingia next stage ni rahisi maana best losser ukishinda game moja na sare unaweza kupitaKocha akichagua wachezaji sahihi na kupanga kikosi vizuri (sio kama ya kule Lesotho) na morali ya vijana ikiwa juu huenda tukatoa ushindani kwa hao miamba.
Mmeshaanza kuwaza Best Losser mapema hivi Tulieni muda utaongeaNikweli,then saizi kuingia next stage ni rahisi maana best losser ukishinda game moja na sare unaweza kupita