Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kama bado hujakubali kuwa sisi kiushindani bado basi kuitwa underdog ndo mnaorusha ngumi,hii siyo opinion bali ni fact sisi kuvuka tujikite zaidi kuvizia best losser........ndo iwe stategy yetu kama Portugal alipita kijanja janja Euro hadi kubeba kombe,ila sisi hata kuvuka round ya pili ni mafanikioMmeshaanza kuwaza Best Losser mapema hivi Tulieni muda utaongea
Cameroon now wamechoka sanaCameroon mabingwa!!
Mkuu nimekupa THANKS kabla hata sijamalizia kusoma comment yakoNimegundua kuwa watanzania wengi hatujiamini hasa linapokuja suala la kushindana na mataifa mengine siyo tu kwenye soka bali pia hata mambo mengine. Inawezekana ndio maana tunaongoza kuwa na watu wengi ambao hawana furaha ya maisha duniani. CHOCHOTE KINAWEZA KUTOKEA KWA TIMU YETU EITHER KUFUNGA AU KUFUNGWA AU KUSULUHU. CHA MSINGI NI MAANDALIZI NA KUJIAMINI KWAMBA TUNAWEZA NDIO MAANA TUMEFUZU KWENDA AFCON 2019 EGYPT. KUTOJIAMINI HUWA NDIO CHANZO KIKUU CHA KUSHINDWA KATIKA JAMBO LOLOTE LILE!
Kiongozi ni ngumu sana, kenya wana professional players wakutosha.Ila mkuu upangaji wa kikosi, formation ya Amunike na wachezaji atakaochagua si huenda ikaamua hatima yetu?
Watu wenye vikejeli vya aina yango ambao hawaulizi maswali kiungwana siwapendi kinyama.Lete takwimu siyo unaleta story tu! Mechi ya mwisho tulicheza nao Nairobi ili isha kwa sare, Wanyama akiwepo huku si tuki mkosa Samatta kama sijakosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha masihara wewe ,Ao sauz ata sisi tulijipigiaga ..apo morroco na ivory kost uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hakuna best looserNikweli,then saizi kuingia next stage ni rahisi maana best losser ukishinda game moja na sare unaweza kupita
Mkuu unawajua Cameroon vizuri au unaongea tu, Cameroon ya sasa sio ile ya zamani .. Imejaa vijana .. Au hujui kuwa CAMEROON ndio bingwa mtetezi ???Cameroon now wamechoka sana
Mkuu, wale jamaa wanajua kutunyanyasa.[emoji23][emoji23][emoji23] Algeria sio wakali sana Kama Kipindi kile walitupiga 7
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwa port 4. chungu chenye timu ambazo ni lowest kwenye rank ya ubora miongoni mwa zilizofuzu
Bruce Kangwa na Tafadzwa kutinyu unawajua...Zimbabwe anaenda kula nyingi
Poa usiharishe hapa, nenda toilet. Sipendi halufu ya uharo.Watu wenye vikejeli vya aina yango ambao hawaulizi maswali kiungwana siwapendi kinyama.
Kwa hiyo sina haja ya kukujibu nikaushie kabisa tafadhali naweza nikakuharishia ukashangaa.
Mkuu sisi tulikuwa chungu cha 4, maana yake timu dhaifu kuliko zote katika Rankings za FIFA na CAF... Timu kama Tanzania, Burundi, Guinea Bissau, Madagascar nk zile unaona za mwisho kila kundi.