Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Mmeshaanza kuwaza Best Losser mapema hivi Tulieni muda utaongea
Kama bado hujakubali kuwa sisi kiushindani bado basi kuitwa underdog ndo mnaorusha ngumi,hii siyo opinion bali ni fact sisi kuvuka tujikite zaidi kuvizia best losser........ndo iwe stategy yetu kama Portugal alipita kijanja janja Euro hadi kubeba kombe,ila sisi hata kuvuka round ya pili ni mafanikio
 
Kupenya kwa Senegal na Algeria ipo kazi. Coach Amunike aongeze kasi na stamina ya mchezaji mmoja mmoja. Senegal mchezo wao ni wa nguvu na Algeria mchezo wao ni wa kasi
 
Tukiwa na spirit ya kupambana tunafika mali. Wachezaji wetu wakijiamini na kupambana tutatoboa.
 
Nimegundua kuwa watanzania wengi hatujiamini hasa linapokuja suala la kushindana na mataifa mengine siyo tu kwenye soka bali pia hata mambo mengine. Inawezekana ndio maana tunaongoza kuwa na watu wengi ambao hawana furaha ya maisha duniani. CHOCHOTE KINAWEZA KUTOKEA KWA TIMU YETU EITHER KUFUNGA AU KUFUNGWA AU KUSULUHU. CHA MSINGI NI MAANDALIZI NA KUJIAMINI KWAMBA TUNAWEZA NDIO MAANA TUMEFUZU KWENDA AFCON 2019 EGYPT. KUTOJIAMINI HUWA NDIO CHANZO KIKUU CHA KUSHINDWA KATIKA JAMBO LOLOTE LILE!
Mkuu nimekupa THANKS kabla hata sijamalizia kusoma comment yako
 
Ila mkuu upangaji wa kikosi, formation ya Amunike na wachezaji atakaochagua si huenda ikaamua hatima yetu?
Kiongozi ni ngumu sana, kenya wana professional players wakutosha.
 
Lete takwimu siyo unaleta story tu! Mechi ya mwisho tulicheza nao Nairobi ili isha kwa sare, Wanyama akiwepo huku si tuki mkosa Samatta kama sijakosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wenye vikejeli vya aina yango ambao hawaulizi maswali kiungwana siwapendi kinyama.

Kwa hiyo sina haja ya kukujibu nikaushie kabisa tafadhali naweza nikakuharishia ukashangaa.
 
Cameroon now wamechoka sana
Mkuu unawajua Cameroon vizuri au unaongea tu, Cameroon ya sasa sio ile ya zamani .. Imejaa vijana .. Au hujui kuwa CAMEROON ndio bingwa mtetezi ???

Walichukua kombe la AFCON mwaka 2017 na vijana ambao hawana majina. Kama unakumbuka beki wa club ya Liverpool MATIP huo ni mwaka ambao aliitwa team ya taifa ya Cameroon akakataa.



Moja ya team bora kwa sasa zisizo kuwa na mbwembwe ni Cameroon jaribu kuifuatilia Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutasonga mbele hao mnaowaona wakali ndo tunachukulia nafasi kwao.Tunaye kinara wa magoli afrika nzima anayechezea ulaya mbwana samatta hao akina mane na wanyama wakae kando.Wapo mabeki imara nyoni aaaaaah hawa wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom