Afcon 2019: Tanzania yapangiwa kundi moja na Kenya Senegal na Algeria

Naona, goma la Baba yetu Uliye Mbinguni.. Kiswahili hoyeee!!
 
ila hawa jamaa wako serious sana na mambo si unaona event ina vyovutia hadi raha kuitizama.
Cha ajabu hapa dar hata hakujulikani kama kuna mashindano makubwa yanakuja hakuna matangazo yoyote ya utalii vijana wanapanda shabiby hata kuweka zile kava walizotangaza wameshindwa!! halafu akiteuliwa CEO mwarabu tena kwenye kampuni binafsi tunamtia selo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa

Yohana 3:16
 
Hata Mimi nashangaa wakati Kuna watu Kama Tenga Ni wazoefu was haya Mambo wanashindwa kutoa muongozo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…