brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu ndio wabovu kabisaNi Bora tukapangiwa mataifa Kama Nigeria, South Africa , DR Congo na Cameroon
Kuliko kupangiwa waarabu
Egypt, Tunisia na Morocco
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siwataki hasa Mwenyeji kunakuwaga na upendeleo flani hivi
Mkuu hiki kifaransa unakielewa?Naona, goma la Baba yetu Uliye Mbinguni.. Kiswahili hoyeee!!
Hahaaila hawa jamaa wako serious sana na mambo si unaona event ina vyovutia hadi raha kuitizama.
Cha ajabu hapa dar hata hakujulikani kama kuna mashindano makubwa yanakuja hakuna matangazo yoyote ya utalii vijana wanapanda shabiby hata kuweka zile kava walizotangaza wameshindwa!! halafu akiteuliwa CEO mwarabu tena kwenye kampuni binafsi tunamtia selo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tupangwe nao tutoke mapema. Wanazi wanaweza kugeuza nchi ikawa kule tukasaulishwa ulaji wa chapati za bilioni moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siwataki hasa Mwenyeji kunakuwaga na upendeleo flani hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ,mbona kuna maneno ya kiswahiliAseeee kumbe kiswahili ni lugha kubwa sana Africa..
Hata Mimi nashangaa wakati Kuna watu Kama Tenga Ni wazoefu was haya Mambo wanashindwa kutoa muongozoila hawa jamaa wako serious sana na mambo si unaona event ina vyovutia hadi raha kuitizama.
Cha ajabu hapa dar hata hakujulikani kama kuna mashindano makubwa yanakuja hakuna matangazo yoyote ya utalii vijana wanapanda shabiby hata kuweka zile kava walizotangaza wameshindwa!! halafu akiteuliwa CEO mwarabu tena kwenye kampuni binafsi tunamtia selo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
acha tu kaka watanzania vichwa vyetu vimelala sanaHata Mimi nashangaa wakati Kuna watu Kama Tenga Ni wazoefu was haya Mambo wanashindwa kutoa muongozo
Sent using Jamii Forums mobile app