Afghanistan: Serikali ya Taliban yapiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni

Hawataki television ya mzungu lakini wanatumia bunduki za wazungu kuchinjana wao Kwa wao
No no, umekosea, hawajasema kama hawataki television ya mzungu; wamesema hawataki maudhui ya kizungu kwenye television za kizungu. Yaani wanachagua vya kuvichukiwa halafu wanahusisha na dini. Hivi kama sio UNAFIKI ni nini? Bunduki unatumia za kwao, unafikisha hiyo taarifa kwa umma kupitia vifaa vya hao hao ambao unawachukia, miwani waliovaa machoni wamenunua kutoka kwao na kupitia ndege za hao hao Wazungu. Bado napata shida sana kuwaona watu wana amini kwamba Uislamu ni dini ya Mungu aliyeziumba mbingu na nchi. Napata shida sana
 
Waislamu dunia nzima hakuna anayetaka kwenda kuishi hiyo nchi.

Faiza Foxy atatukana Marekani na washirika wake ila akiambiwa akaishi Afghanistan hakubali labda aende huku mmemziba macho
 
Vitu wanavyofanya Taleban wanaweza wasikae madarakani kwa muda mrefu sana wanatengeza upinzani mkubwa huko mbeleni kutoka makundi mbalimbali.
 
Ukweli kuna nchi zina udumavu wa akili kulikopindukia
 
kwa mwendo ni suala la mda watapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe na nchi haitotawalika tena waache wachochee moto tu nchi sahivi imetulia badala kwenda mbele wajinga hawa wanarudisha wenzao nyuma wakati ule na marekani wa roho mkononi..huu upuuzi wao hautodumu mda mrefu kuwafanya walio wengi kama punda ipo siku watachapana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…