Afghanistan: Serikali ya Taliban yapiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwezi kuamini Taliban ndio wanaitafiri dini ya kiislam kwa usahihi wake.

Juzi walipiga maarufu wanawake kuongeleshana ama mwanamke kuongea na mwanamke mwenzake.

Walipiga maarufu watu kunyoa ndevu, ni marufuku kunyoa ndevu na wakatangaza kufunga saluni zote nchi nzima. Sijui kama jamaa wananyoa hata mavuzi.

Walipiga maarufu saluni za kike.

Walipiga marufuku wanawake kutembea mtaani, mwanamke anatakiwa kua ndani muda wote kama utumbo.

Wapige marufuku magari, simu, redio, tv, bunduki, vitanda, magodoro, na kila kitu.
 
Sio kwa ubaya ile the ndevus akili hamna kabisaa hapo yatakimbia mbio nchi za wakristo na masikini wakristo hawana hiyana wala kinyongo watawakaribisha hapo wapoleee wakishakaa na kuanza kuota vitambi tu , haoooo wataanza kujidai wanataka sheria yani the ndevus bin kobazi ni jamii moja ya hovyo mno
 
 
Safi sana Talebani, tunapaswa kuheshimu maisha yao waliyoamua kuishi.

Leo hii wote tunalalamikia akina dada kuvaa hovyo hovyo na kudhurula mitaani, wengine tunawakuta kwenye maana usiku wanajiuza tunahangaika nao kila siku waache ukahaba.
 
Hilo tamko lao wamelitoa kwa bango au wameonrkana kwenye TV?

Afya ya akili ni janga la dunia
 
Upumbavu mtupu,
Hapa ni hata baada ya kukaliwa na jeshi la Marekani kwa miaka 20!
 
Kama kuna Watu wanamtetea Kiongozi wao kulala na mtoto wa Miaka 9, unategemea akili itatoka wapi.
 
Taliban waliongeza kuwa picha za wanyama na sura za watu kwenye Televisheni utumika kwenye Siasa za Ulaya na Marekani
Kwani hizo television sio za mzungu?
 
kumbe ndugu zetu wanamambo ya ajabu sana,ila wamejificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…