Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

Afghanistan: Taliban imesema ni marufuku mfanyakazi wa Serikali kutokuwa na Ndevu. Kama huna Ndevu usikanyage kazini

Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.

Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.

Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂

Kumekucha Kumekucha 😀😀😀
 
muda unakuja Imani hii itatawala Dunia.
I pity wote watakao kuwepo nyakati hizo.
Dini zote zinaanza kukosa nguvu kutokana na watu kuanza kutambua kwamba Dini sio imani.
Kama wakianza kulazimisha Dini kwa nguvu nje ya mipaka yao ndani ya century hii basi itabidi watandikwe Nuclear ili iwe fundisho na dunia iwe na amani.
 
Bahati nzuri hakuna mwenye mpango wa kuzuru Afghanistan hata waseme unapewa Visa ya bure na mabikra 72 hawatapata maombi hata chembe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana hasa hapo kwenye ndevu za kueleweka. Kwahiyo uchebe wajuba hawataki?[emoji16]
 
Wabongo wengi wanapenda kushabikia nchi zenye serikali korofi kama hizo ila hawawezi kukanyaga huko, badala yake wanakimbilia kwenye nchi wanazozitusi ambazo kiuhalisia na haihitaji elimu ya chekechea kujua ndizo zilizostaarabika.

Sasa dawa ni siku moja kuwaletea hapa nyumbani. Muombe nisiwe rais siku moja. Mtalimia fizi. Hasa hizo harakati za kuinua wanawake zilivyoshika kasi kiasi sasa si 50 kwa 50 tena bali wanaisakua 30kwa 70, nitaishusha 95 kwa 5, NGOs zitashika adabu na misaada yawesteners nitanyimwa. Ila wabongo lazima wanyooshwe washabikie kwao sasa na si kwingine.
 
Dini zote zinaanza kukosa nguvu kutokana na watu kuanza kutambua kwamba Dini sio imani.
Kama wakianza kulazimisha Dini kwa nguvu nje ya mipaka yao ndani ya century hii basi itabidi watandikwe Nuclear ili iwe fundisho na dunia iwe na amani.

🤣🤣Mambo hayako hivyo, chief mambo kama ya uvamizi uliwai fanyika spain na kwingineko kwa dhumni la ku- slimisha kwa nguvu hayatatokea tena hasa katika nchi za ulimwengu wa kwanza.

Na muda unakuja sehemu ya waamzi wakuu wa matumizi ya nyukilia watakuwa ni hao hao wajahidina.
 
Kila Jamii ina haki ya kulinda utamaduni wake

Hata sie kuna nchi zinatushangaa inakuaje Ofisi za Umma wameweka aina chache tu za mavazi unayoruhusiwa kuvaa bila ya kujalisha Wewe ni mfanyakazi pale au ni mfuata Huduma, mf. Immigration kwanini wasiruhusu vimini au vipensi kwa wateja wao? Kwanini Askari haruhusiwi kufuga Afro au rasta ndevu?

Ni kama issue ya ushoga…wakati Wewe unashangaa mataifa yaliyohalalisha Ushoga kuna Mataifa yanakushangaa kwanini uzuie watu wa jinsia moja kuparamiana…

Wakati Tanzania inaruhusu Watu kuvaa hijabu kwny ofisi za Umma kuna mataifa yamepiga marufuku watu kuvaa hijabu kwny ofisi za Umma iwe ww ni mtoa huduma au mpokea huduma huruhusiwi kuvaa hijabu
dunia inabadilika , utamaduni wa ndevu sio asili ya yeyote yule ila ni mazingira ndo yaliwanya mababu wafuge ndevu na sio utamaduni
 
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.

Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.

Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂

Ni kwa jinsi zote?Maana hawajaeleza ni lazima awe mwanaume au mwanamke.
 
Kwani sie suruali ya Jeans ukivaa kazini zinapunguza competence hadi zikazuiwa?

Bungeni ukivaa Kanzu bila ya kofia unatolewa nje…tunasubiri BBC wa post ndio nasi tushangae?
kuna taratibu za kuondoa ushindani wa vitu nje ya kazi mf mavazi ya mauzo na ndio maana unaambiwa suruali ya kitambaa sio jeans ili kuepusha kuja na mavaz ambayo yatachukua attention ya watu na kupunguza efficiency ya kaz ila ndevu tunanyoa kwa sababu za usafi zaid wengi hawajui kuzitunza ndev , kuna mtu mpk zinanuka
 
Werevu wa NATO wamepambana nao kwa 20 years wamekimbia halafu Wee M NATO kutoka wanging'ombe unawaita Wajinga…ule ni uamuzi wao kwa matakwa yao na hawataki kupangiwa

Sie werevu hadi leo kuamua tu kuunga Mkono au kupinga vita vya Urusi vs Ukraine tunaogopa
Hakuna nato aliyekimbia..wameamua kuondoka baada ya kukamilisha malengo yao..unadhani wakaitaka kurudi hata leo kuna matalebani wa kuwazuia.?

Hao ni puppets wa mabeberu ndio wanao tawala rimoti ipo usa.

Ndio mana kutwa kuenda kuwapigia magoti wapewe pesa kuendesha serikali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchini Afghanistan, viongozi wa Taliban wamepiga marufuku wafanyakazi wa serikali ambao hawana ndevu kufika ofisini.

Taliban wanasema mfanyakazi yoyote wa serikali lazima awe na ndevu za kueleweka, hakuna kunyoa ndevu na wafanyakazi wote ambao hawana ndevu wamepewa muda kabla hawajafukuzwa kazi moja kwa moja.

Ni uchaguzi wako, ufuge ndevu ama ufukuzwe kazi😂

Na sie wenye vindevu viwili sijui watatufikiriaje kwenye hili...
 
Ina maana hujui kibano walichokipata hadi chaguzi zao hoja kuu ikawa kurudisha Majeshi nyumbani, hujui kuwa kwa miaka 20 yote gharama ya kuweko kule ilikuwa juu sana kutokana n mpambano

Halafu unajichanganya mara hao ni vibaraka wa Marekani mara wanalia lia wapewe fund za kuendesha Serikali, iweje sasa kibaraka anyimwe fedha za kuendesha Serikali? Iweje kibaraka asitambuliwe na hayo Mataifa

Afghan kule Kaa la Moto…USSR alitoka Mbio kama ilivyokuwa kwa NATO

M NATO wa Nzega unasema wameondola baada ya kukamilisha Malengo wakati malengo ilikuwa kuwasambaratisha Taleban ambao ndio leo wanaongoza hilo Taifa

Malengo ni kutokomeza 'Ugaidi' ambao leo wanasema hadharan kuwa kuondoka ni kuruhusu magenge ya magaidi kukusanyika tena

Najua unaumia sana lakin sio ajabu jamaa kukimbia Kichapo…walifanya hivyo Vietnam pia
Hakuna nato aliyekimbia..wameamua kuondoka baada ya kukamilisha malengo yao..unadhani wakaitaka kurudi hata leo kuna matalebani wa kuwazuia.?

Hao ni puppets wa mabeberu ndio wanao tawala rimoti ipo usa.

Ndio mana kutwa kuenda kuwapigia magoti wapewe pesa kuendesha serikali.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwanza maana ya utamaduni? isije ikawa napoteza muda ku derive 'quadratic equation' kwa mtu wa HKL!
dunia inabadilika , utamaduni wa ndevu sio asili ya yeyote yule ila ni mazingira ndo yaliwanya mababu wafuge ndevu na sio utamaduni
 
Back
Top Bottom