Sam Gidori
Senior Member
- Sep 7, 2020
- 165
- 417
Hii ni photoshopo hakuna lolote hapaSioni hata mmoja aliyevaa barakoa
Hata wewe usingekumbuka hiyo barakoa.Sioni hata mmoja aliyevaa barakoa
Hahaa corona wakati watu wanakimbia vitaIna maana huko hakuna corona, au wamekwisha chanjwa wote?
👏👏👏👏Kabisa,sio barakoa tu,hata kuvaa unaweza kupanda na nguo za kaziHata wewe usingekumbuka hiyo barakoa.
Kwakua hawajavaa barakoa ndo hitimisho lako kuwa Ni Photoshop?Hii ni photoshopo hakuna lolote hapa
Mbona hata sisi huku hatuvai barakoa?Ina maana huko hakuna corona, au wamekwisha chanjwa wote?
Hiyo ni ndege ya mizigoHiyo ndege imekuwa ya mwendokasi sasa
Maana limebeba uzito x5 ya kawaida yake
Na rubani akakubali na ikapaa duu
Kuna movie zingine hazihitaji popcorns kabisa [emoji23][emoji23]
wewe uko nyuma ya wakati.taarifa hizi zipo kabisa wewe unasema photosho.mimi nilivyoona ile video kwa nje sikujua ndani ya ndege kuna hali ganiHii ni photoshopo hakuna lolote hapa
Barakoa na usalama wa maisha mzee😂😂Sioni hata mmoja aliyevaa barakoa
Simply means no covid 19.Sioni hata mmoja aliyevaa barakoa