Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

Karibu ya wa AFGHAN 10,000 wapo uwanja wa ndege kuiacha nchi kwa kunusuru maisha yao zidi ya watawala wapya wa TALIBAN waliochukua nchi.

Ikiwa maafisa wa uwanja wa ndege za Kiraia nao wametoroka, waliopo hapo ni wanajeshi wa USA tu, nidhamu na utengamano hamna! na baadhi ya ndege za jeshi za USA zinazo tua hapo, hudandiwa mithili ya daladala za Mbagala-Kariakoo, na maafa hutokeaView attachment 1895387View attachment 1895388View attachment 1895389View attachment 1895390View attachment 1895391View attachment 1895392View attachment 1895394
Hao ni wale walikuwa vibaraka wa usa
 
Female journalists returned to work on the second day of the Taliban rule. So far, women are seen conducting live broadcasts from the streets of Kabul. Traffic is back to normal and Taliban is patrolling the streets. People are going back at work. https://t.co/EoEdUNykBM
 
Back
Top Bottom