Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,488
- 3,338
Angalia vzr
Sioni hata mmoja aliyevaa barakoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni hata mmoja aliyevaa barakoa
Mbona povu limekutoka mzeeIli wakuridhishe wewe punguani ambaye akili zako zimezongwazongwa na CCM,
Pambana na tozo za bimkora mambo ya USA na WA Afghanistan sio level yako
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Aisee!Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi.
Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya mara tano ya uwezo wa ndege hiyo kubeba abiria na moja ya idadi kubwa zaidi kuwahi kubebwa katika ndege hiyo aina ya Boeing C-17 Globemaster III. Waliofanikiwa kuingia ndani ya ndege hiyo walitumia mlango ambao haukufungwa vizuri wakati ndege hiyo ikiwa katika uwanja wa ndege mjini Kabul.
Wizara ya Ulinzi ya Marekani imeripoti kuwa haikuwa na mpango wa kuwabeba watu hao, lakini ililazimika kutokana na vurugu zilizotokea katika uwanja wa ndege jana. Inaripotiwa kuwa watu wawili wamefariki baada ya kuanguka kutoka kwenye ndege hiyo.
Kujaa kwa watu katika Uwanja huo wa Ndege kulitokana na taarifa za uzushi kusambaa awali Mjini Kabul kuwa Jeshi la Marekani linatoa usafiri wa bure kuwapeleka wananchi wa Afghanistan kwenda Marekani na Kanada, ndipo mamia ya watu walipovamia uwanja huo wakijaribu kupata usafiri huo wa bure na kuyaokoa maisha yao kutoka kwa Wataliban.
Waliofanikiwa kupanda ndege hiyo - wakiwamo wanawake na watoto wachanga - wamefanikiwa kutua salama nchini Qatar.
Wapiganaji wa Taliban wamefanikiwa kuchukua udhibiti wa Mji Mkuu na mipaka ya nchi. Uwanja huo wa ndege ndio sehemu pekee iliyo chini ya udhibiti wa Jeshi la Marekani.
Chanzo: Guardian US
View attachment 1895144
Ndio hivyo Sharia Law nzuri ila hakuna anaetaka kuishi nchi za Sharia tunakimbilia kwa Waefeso.Uongo mtupu
Ni kweli tumejaa Dubai tunakula maishaNdio hivyo Sharia Law nzuri ila hakuna anaetaka kuishi nchi za Sharia tunakimbilia kwa Waefeso.
Hujiuluzi hao wazungu miaka yote walikuwa wanafanya nini afghanistan???? Kwanini wasiwaache na nchi zao wakajitawala wenyewe, wameenda kuanzisha vita na vurugu kwenye nchi za watu so they are obliged kuwahakikishia usalama watu wa eneo husika simple as that,Ndio hivyo Sharia Law nzuri ila hakuna anaetaka kuishi nchi za Sharia tunakimbilia kwa Waefeso.
Wala mkanda.Utadhani wamepanda meli.Walikusudia kulipiza kisasi kwa AmerikaSioni hata mmoja aliyevaa barakoa
tatizo litaisha pale magharibi watakapoacha kuvamia nchi zao na kuiba rasilimali zao,Halafu utakuta hawa ndio wanaandamana kutaka sharia law kwenye nchi walizokimbilia
Mkuu umewahi kujiuliza kwanini hawawezi kwenda kuiba hizo mali Urusi au Japan au china au korea nk nktatizo litaisha pale magharibi watakapoacha kuvamia nchi zao na kuiba rasilimali zao,
Hayo ni mawazo yake huyo faraq, mungu ni huyu huyu mmoja na hajawahi kubadilika,hata japan ,vietnam wote walishwahi kuingia vitani na marekani,Mkuu umewahi kujiuliza kwanini hawawezi kwenda kuiba hizo mali Urusi au Japan au china au korea nk nk
Ni kwa sababu wenzetu kwa asilimia kubwa wanatumia common sense hawaishi kwa kutumia some ancient scriptures zilizotungwa na some ignorant people during the ancient time to control them
Faraq Foda mwanafalsafa wa Kimisri aliwahi kusema hivi
Our arab countries is doomed because we have doctors, Engineers, university professors attending Friday sermons to listen to uneducated person selling them an illusions and encourage them to use violence
Hakuna taifa lililo laaniwa wala hakuna taifa lililo barikiwaHayo ni mawazo yake huyo faraq, mungu ni huyu huyu mmoja na hajawahi kubadilika,hata japan ,vietnam wote walishwahi kuingia vitani na marekani,
MUngu ataendekea kuabudiwa siyo tu kila ijumaa bali kwa kusali mara tano kwa siku hilo halina mjadala
Sasa mzungu aende korea kuna rasilimali gani za kuiba? Tatizo hata kama umesoma bado hujaelimika
Kuna mataifa mungu ameyabariki hata kama ukiyachukia, leo unaweza kuamini kama huyo huyo muarabu unayesema hana akili ana miliki hadi airport kubwa duniani (heathrow) kwenye ardhi ya mzungu