Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

Nilikuwa naangalia al jazeera jana,watu wananinginia kwenye ile ngazi pembeni,kumbe kila mwarabu anatamani kuishi kwa makafiri aisee! Mungu amewabariki sana makafiri,na bado anazidi kuwabariki kwa kila kitu
Makafir wanaujua ubinadamu, hao watakaofika watahakikishiwa elimu, nyumba, chakula na matibabu mpaka mwisho wa uhai wao.
 
Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi...
Nikiwaza kidogo,

Hawa waislam wanasaidiwa na wakristo(USA)kukimbia nchi yao yenye Waislam wengi,ambayo inategemea kuwa na utawala wa Kiislam,!
Muislam anakimbia nchi yake ambayo inataka kumtawala kwa kutumia dini ya Uislam/sharia!!! What am I missing!?

Je sasa hv waislam wamekubali kwamba political Islam ni janga!?sharia haifai ktk karne ya 21!?

Sijaona madege kutoka Saudia,Qatar,Pakistan,Malaysia,

Na wengi wao hapo wanatamani waperekwe kwenye nchi za "kikristo"Canada,us,ulaya,hakuna anayetaka kwenda Pakistan,Uturuki,Saudia,Iran,
 
Nikiwaza kidogo,
Hawa waislam wanasaidiwa na wakristo(USA)kukimbia nchi yao yenye Waislam wengi,ambayo inategemea kuwa na utawala wa Kiislam,!
Muislam anakimbia nchi yake ambayo inataka kumtawala kwa kutumia dini ya Uislam/sharia!!! What am I missing!?....
Mkuu hawa ni ndugu katika imani na maisha yao yanafanana kwa sababu ni watu wa ukanda mmoja lakini cha ajabu eti wanakosa msaada kwa ndugu zao halafu wanataka eti wazungu ambao huwaita makafiri ndo wawasaidie ..hii inaleta picha gani mkuu? Ina maana ile dini yao haina mafundisho ya kusaidiana? Au wamejaa unafiki mwingi kama viongozi wa ccm..
 
Mkuu hawa ni ndugu katika imani na maisha yao yanafanana kwa sababu ni watu wa ukanda mmoja lakini cha ajabu eti wanakosa msaada kwa ndugu zao halafu wanataka eti wazungu ambao huwaita makafiri ndo wawasaidie ..hii inaleta picha gani mkuu? Ina maana ile dini yao haina mafundisho ya kusaidiana? Au wamejaa unafiki mwingi kama viongozi wa ccm..
hamana. jibu watakalo kupa zaid ya photoshop
 
Picha ya hawali kwa siku ya jana ya Waafghani Zaidi ya 600 Waliosongamana Kwenye Ndege ya Marekani ambayo iliwachukua kuwaondosha nchini humo kwa sababu ya hofu.

Kutokana na mgogoro wa ulioibuka na kulifanya kundi la wapiganaji la Taliban kuhodhi taifa la Afghanistan.

Picha imepigwa kutoka kwenye ndege ya kijeshi aina ya C-17 Globemaster III ya Jeshi la Anga la Marekani.


IMG_20210818_081245.jpg


NB: Tutunze Amani ndg zangu.
 
Hiyo ndege imekuwa ya mwendokasi sasa, maana limebeba uzito x5 ya kawaida yake

Na rubani akakubali na ikapaa du

Kuna movie zingine hazihitaji popcorns kabisa [emoji23][emoji23]
Hiyo ndege ni ya mizigo, inabeba mizigo mizito ikiwemo vifaru na zana za kivita kuliko hao watu waliopanda
 
Tuache uongo inavyoonekana asilimia 80 ya waislamu hawapendi sheria za dini yao, inaonekana wale wa karne ya saba hawakuwa na namna kwa sababu ndio ulikuwa mtindo wa maisha.

Lakini kwenye hili karne ya 21 ya .com hakuna watu wenye akili timamu wanaoweza kuvumilia madhila ya "Sharia Law" basi tu wamo vifungoni maanake watu wanakimbia wanaenda ambako hakuna sheria za kidhalimu kama hizo.

Ama kweli, Mungu alituumba tuwe huru. Hawa magaidi kama ndio hizi sheria zao wanataka wazilete huku, tutawanyoa sio ndevu tu bali hata za kwenye "Pubis", waziweke huko huko kwao.
 
Wakati wanashushwa au wakati wanagombania kuingia kwenye ndege?

Maana kilichipo hakuna video wakiwa ndani ya ndege zaidi ya ile waliyokuwa wanapambana kuingilia kwa njia za panya. Wanajeshi na watu wao waliingilia lango kuu nyuma ya ndege. wakaana kutafuta milango ya dharura. ambapo hata wangipata kwa njinsi walivokuwa wanagombea na ndege ikaanza kuondoka licha ya wengine kujazana chini wasingefikia 600.

Hiyo picha ni moja tu na imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Jiulize Hawakuwa na simu wapige SELFIE ndani ya ndege kama walivyokuwa wanarecodiana wakati wanagombania milango na madirisha??
Ili wakuridhishe wewe punguani ambaye akili zako zimezongwazongwa na CCM,

Pambana na tozo za bimkora mambo ya USA na WA Afghanistan sio level yako

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom