Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
na Qatar nao wataruhusu hao jamaa wabakie kwao? Watawatunzaje?Wazee wa fursa wakiona marekani ileeeee.
Hivi unadhani USA wataruhusu hao watu kuingia nchini kwao? Hao wataachwa hapo hapo Qatar wapige vibarua.