Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

nimecheki video bbc ,ni kama movie ,kwel vita isikie tu kwa jirani.,inafika hatua mtu anadandia ndege kama pikipiki..soo sad.
 
Sioni hata mmoja aliyevaa barakoa
Kunywa maji mengi...
Screenshot_20210817-144941_WhatsApp.jpg
 
Nimeangalia kwenye taarifa ya Habari utv adhuhuri
Wakati wanashushwa au wakati wanagombania kuingia kwenye ndege?

Maana kilichipo hakuna video wakiwa ndani ya ndege zaidi ya ile waliyokuwa wanapambana kuingilia kwa njia za panya. Wanajeshi na watu wao waliingilia lango kuu nyuma ya ndege. wakaana kutafuta milango ya dharura. ambapo hata wangipata kwa njinsi walivokuwa wanagombea na ndege ikaanza kuondoka licha ya wengine kujazana chini wasingefikia 600.

Hiyo picha ni moja tu na imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Jiulize Hawakuwa na simu wapige SELFIE ndani ya ndege kama walivyokuwa wanarecodiana wakati wanagombania milango na madirisha??
 
US na vibaraka wao sijui wanatuchukuliaje asee dah

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Naona wameona waongee tu mradi siku ipite
Wanajeshi zaidi ya 3000 wamekufa huko na hao ni USA tu bado wale wakandarasi zaidi ya 4000 na majeshi ya NATO zaidi ya 1000
Wanasema hasara zaidi ya £1 tr lakini hawasemi ni faida ngapi wamepata kwenye madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom