Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

Afghanistan: Zaidi ya watu 600 wamefanikiwa kupanda ndege ya Jeshi la Marekani

wewe uko nyuma ya wakati.taarifa hizi zipo kabisa wewe unasema photosho.mimi nilivyoona ile video kwa nje sikujua ndani ya ndege kuna hali gani
Nilikuwa naangalia al jazeera jana,watu wananinginia kwenye ile ngazi pembeni,kumbe kila mwarabu anatamani kuishi kwa makafiri aisee! Mungu amewabariki sana makafiri,na bado anazidi kuwabariki kwa kila kitu
 
Wazee wa fursa wakiona marekani ileeeee....
Hivi unadhani USA wataruhusu hao watu kuingia nchini kwao? Hao wataachwa hapo hapo Qatar wapige vibarua..
Hao hawawezi fika USA, ila kuna wale tu ambao walikuwa wakiwasaidia kama kutasfiri/waandishi wa habari, na waliokuwa wakifanya kwenye mashirika yao, wengine walishapelekwa Marekani, na wengine bado ila wataenda.hao kwenye ndege hiyo ni lift tu wanabwagwa hapo qatar tu, kwani kuwashusha ingekuwa ngumu.
 
Hiyo haikwenda kuchukua wanajeshi ilienda beba diplomat people ila walichokutana nacho sasa
Mkuu kwaio ilienda tupu?

Ilikuwa na askari wa kutosha tena wenye silaha za maana kwa ajili ya kuwaokoa wafanyakazi wa ubalozini
Jamaa waliachwa solemba
FB_IMG_1629188210402.jpg
 
Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi...
Unajua bhana sawa waafrika ni wapumbavu wa fikra hususan viongozi wetu .

Ila hakuna watu wasiokua na akili kama waarabu.

Waarabu mambumbumbu sana.

Wanahusudiana wao kwa wao,wanachukiana wao kwa wao,wanageukiana wao kwa wao.

Ndio maana hata vita ikitokeaa mwarabu anaona sehem salama kwake ni kwa mzungu ila sio kwa mwarabu mwenzake.

Point yangu ni kwamba hapo mashariki ya kati waarabu wenyewe walikua wana uwezo wa kutatuliana shida na migogoro ya wao ila unafiki unawamaliza.
 
Aisee, kumbe wanazipenda nchi za kikafiri namna hii? Dini ya haki! 😂
Asa mkuu hao waarabu wananafikiana wenyewe kwa wenyewe unadhani mwarabu ataweza kukimbia kwa mwarabu mwenzake?

Kidoogoo Turkey waarabu wanapenda kukimbilia ukimbizi huko kwasababu jamaa nchi wanaiendesha vizuri.

Na hawa ndio wanatuchafulia dini kuleta mkazo ktk mambo siyo.

Hawa jamaa siwakubali hata kidogo.
 
Karibu ya wa AFGHAN 10,000 wapo uwanja wa ndege kuiacha nchi kwa kunusuru maisha yao zidi ya watawala wapya wa TALIBAN waliochukua nchi.

Ikiwa maafisa wa uwanja wa ndege za Kiraia nao wametoroka, waliopo hapo ni wanajeshi wa USA tu, nidhamu na utengamano hamna! na baadhi ya ndege za jeshi za USA zinazo tua hapo, hudandiwa mithili ya daladala za Mbagala-Kariakoo, na maafa hutokea
twitter_20210816_165528_2.gif
twitter_20210817_113309_3.gif
20210817_111053.jpg
Internet_20210817_113123_8.jpg
Internet_20210817_111852_1.jpg
Internet_20210817_113123_4.jpg
20210817_105720.jpg
 
Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi.

Idadi hiyo ya watu inatajwa kuwa zaidi ya mara tano ya uwezo wa ndege hiyo kubeba abiria na moja ya idadi kubwa zaidi kuwahi kubebwa katika ndege hiyo aina ya Boeing C-17 Globemaster III. Waliofanikiwa kuingia ndani ya ndege hiyo walitumia mlango ambao haukufungwa vizuri wakati ndege hiyo ikiwa katika uwanja wa ndege mjini Kabul.

Wizara ya Ulinzi ya Marekani imeripoti kuwa haikuwa na mpango wa kuwabeba watu hao, lakini ililazimika kutokana na vurugu zilizotokea katika uwanja wa ndege jana. Inaripotiwa kuwa watu wawili wamefariki baada ya kuanguka kutoka kwenye ndege hiyo.

Kujaa kwa watu katika Uwanja huo wa Ndege kulitokana na taarifa za uzushi kusambaa awali Mjini Kabul kuwa Jeshi la Marekani linatoa usafiri wa bure kuwapeleka wananchi wa Afghanistan kwenda Marekani na Kanada, ndipo mamia ya watu walipovamia uwanja huo wakijaribu kupata usafiri huo wa bure na kuyaokoa maisha yao kutoka kwa Wataliban.

Waliofanikiwa kupanda ndege hiyo - wakiwamo wanawake na watoto wachanga - wamefanikiwa kutua salama nchini Qatar.

Wapiganaji wa Taliban wamefanikiwa kuchukua udhibiti wa Mji Mkuu na mipaka ya nchi. Uwanja huo wa ndege ndio sehemu pekee iliyo chini ya udhibiti wa Jeshi la Marekani.

Chanzo: Guardian US

View attachment 1895144
Wahuni tuu hao waliwaachia tuu wapande 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom