Makafir wanaujua ubinadamu, hao watakaofika watahakikishiwa elimu, nyumba, chakula na matibabu mpaka mwisho wa uhai wao.Nilikuwa naangalia al jazeera jana,watu wananinginia kwenye ile ngazi pembeni,kumbe kila mwarabu anatamani kuishi kwa makafiri aisee! Mungu amewabariki sana makafiri,na bado anazidi kuwabariki kwa kila kitu
Nikiwaza kidogo,Baada ya kushuhudia Waafghanistan wakijaribu kudandia ndege ya Jeshi la Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khamid Karzai mjini Kabul jana, Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetoa picha inayoonesha watu 640 wakiwa ndani ya ndege yake ya kijeshi...
Aha kumbe majamaa ni kweli wameletwa hapo ug?!Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi
Serikali ya uganda imekubali kupokea wakimbizi takribani 2000 kutoka nchini Afaghanisitani kufuatia anguko la serikali eliokuepo madarakani na wana mgambo wa kitalibani kuchukua madaraka ya nchi hiyo. Je uganda ina uwezo wa kuhifadhi hao watu au ni mpango wa Marikani, kupunguza wakimbizi nchini...www.jamiiforums.com
Mkuu hawa ni ndugu katika imani na maisha yao yanafanana kwa sababu ni watu wa ukanda mmoja lakini cha ajabu eti wanakosa msaada kwa ndugu zao halafu wanataka eti wazungu ambao huwaita makafiri ndo wawasaidie ..hii inaleta picha gani mkuu? Ina maana ile dini yao haina mafundisho ya kusaidiana? Au wamejaa unafiki mwingi kama viongozi wa ccm..Nikiwaza kidogo,
Hawa waislam wanasaidiwa na wakristo(USA)kukimbia nchi yao yenye Waislam wengi,ambayo inategemea kuwa na utawala wa Kiislam,!
Muislam anakimbia nchi yake ambayo inataka kumtawala kwa kutumia dini ya Uislam/sharia!!! What am I missing!?....
hamana. jibu watakalo kupa zaid ya photoshopMkuu hawa ni ndugu katika imani na maisha yao yanafanana kwa sababu ni watu wa ukanda mmoja lakini cha ajabu eti wanakosa msaada kwa ndugu zao halafu wanataka eti wazungu ambao huwaita makafiri ndo wawasaidie ..hii inaleta picha gani mkuu? Ina maana ile dini yao haina mafundisho ya kusaidiana? Au wamejaa unafiki mwingi kama viongozi wa ccm..
Hawezi kaa hapo huyo ataingia ndani tu. Baridi la juu sio mchezoYaan nimecheka. Wanaijua ndege hawa?
Wala kukuuliza chanjo[emoji23]Maafisa wa uwanja wa ndege wote walishasepa, hapo hakuna wa kukuuliza tiketi wala passport, ni nguvu zako tu kudandia.
Hiyo ndege ni ya mizigo, inabeba mizigo mizito ikiwemo vifaru na zana za kivita kuliko hao watu waliopandaHiyo ndege imekuwa ya mwendokasi sasa, maana limebeba uzito x5 ya kawaida yake
Na rubani akakubali na ikapaa du
Kuna movie zingine hazihitaji popcorns kabisa [emoji23][emoji23]
Hiyo ndege ni ya mizigo, inabeba mizigo mizito ikiwemo vifaru na zana za kivita kuliko hao watu waliopanda
ila mtu akichora katuni....Dunia nzima wanaandamanaDini nyingine za hovyo sana!
Hapo huwezi kusikia waislamu wakilaani hatua za hovyo kama hizi
Wenzetu wanaona mbali sanaHuwa Kuna safety factor mkuu. Sio kuwa uambiwacho na kichwa kuwa kipo sahihi
NdioAha kumbe majamaa ni kweli wameletwa hapo ug?!
Ili wakuridhishe wewe punguani ambaye akili zako zimezongwazongwa na CCM,Wakati wanashushwa au wakati wanagombania kuingia kwenye ndege?
Maana kilichipo hakuna video wakiwa ndani ya ndege zaidi ya ile waliyokuwa wanapambana kuingilia kwa njia za panya. Wanajeshi na watu wao waliingilia lango kuu nyuma ya ndege. wakaana kutafuta milango ya dharura. ambapo hata wangipata kwa njinsi walivokuwa wanagombea na ndege ikaanza kuondoka licha ya wengine kujazana chini wasingefikia 600.
Hiyo picha ni moja tu na imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Jiulize Hawakuwa na simu wapige SELFIE ndani ya ndege kama walivyokuwa wanarecodiana wakati wanagombania milango na madirisha??