Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Wanafundishwa ukakamavu pia hapo
Kama ni tofali tu
Na mwalimu Mkuu amejipatia za ukuli hapo 😂😂

Ulitaka nani abebe hizo tofali na huo mchanga?wazazi?Kwako Afisa Elimu Ilala,
Poleni na majukumu ya kila siku.
Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo.
Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni wanawabebesha watoto matofali umbali mrefu, na wengine wanabebeshwa mchanga kwenye virobaa.
Baadhi yao wameapa kuhamia hivi karibuni, lakini alichohadithia huyu mtoto wa kiume, aisee, inasikitisha sanasana.
Kwa heshima kubwa, DC, saidieni hawa watoto. Wasome wajibu wa shule kulipa wafanyakazi wa kubeba mchanga na matofali, na sio kubebesha wanafunzi.
Mungu awasaidie na poleni sana watoto mnayokutana nayo.
Wapuuzi hawaa walaa usiwajibu....Vituka kuna shule nyingi...nyie mnaosema watoto wabebe matafali wajinga sana hao watoto wameenda shule kusoma hawajafanyiwa vipimo vya kubeba vitu vizito ujenzi wa taifa kwani wapo JKT....
Taifa lenyewe limejaa wahuni na matapeli mnataka muwatese watoto wetu.
Baba zenu walisomaaa kwa shidaa wakawasomesha kwa shidaa mnataka kurithishaa laana zenu kwa watotoo wenuuu shenzikabisaa sio kwa wanangu lol...wanangu awawezisoma kwa shida niliyopitia awawzi soma shule za aina hizo louUlitaka nani abebe hizo tofali na huo mchanga?wazazi?
Natamani kila shule ingekuwa na mashamba makubwa na miradi,ili madogo wafundishwe kazi.
Wakihitimu waweze kujitegemea
shenzi zako, njoo umchukue mwanao umpeleke feza boys,Vituka kuna shule nyingi...nyie mnaosema watoto wabebe matafali wajinga sana hao watoto wameenda shule kusoma hawajafanyiwa vipimo vya kubeba vitu vizito ujenzi wa taifa kwani wapo JKT....
Taifa lenyewe limejaa wahuni na matapeli mnataka muwatese watoto wetu.
kabisa, kwanza shule inabidi zihamishiwe nje ya mji, humu mjini zibadi yard za maroli, safi sana temeke kuhamisha shule ya kurasini na kugeuza yard za makontena, unapita na semi kitoto kinabinua matako,Ulitaka nani abebe hizo tofali na huo mchanga?wazazi?
Natamani kila shule ingekuwa na mashamba makubwa na miradi,ili madogo wafundishwe kazi.
Wakihitimu waweze kujitegemea
Mama Abdul mitano tena!!Kwako Afisa Elimu Ilala,
Poleni na majukumu ya kila siku.
Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana ujenzi unaendelea wa mabweni na mengineyo.
Wanachofanya shule ni kubana matumizi. Kila jioni wanawabebesha watoto matofali umbali mrefu, na wengine wanabebeshwa mchanga kwenye virobaa.
Baadhi yao wameapa kuhamia hivi karibuni, lakini alichohadithia huyu mtoto wa kiume, aisee, inasikitisha sanasana.
Kwa heshima kubwa, DC, saidieni hawa watoto. Wasome wajibu wa shule kulipa wafanyakazi wa kubeba mchanga na matofali, na sio kubebesha wanafunzi.
Mungu awasaidie na poleni sana watoto mnayokutana nayo.
Ni primary au secondary?Kwako Afisa Elimu Ilala,

Ni makomandoo hao acha waendelee naafunzoKwako Afisa Elimu Ilala,

Shule siyo kusoma tuVituka kuna shule nyingi...nyie mnaosema watoto wabebe matafali wajinga sana hao watoto wameenda shule kusoma hawajafanyiwa vipimo vya kubeba vitu vizito ujenzi wa taifa kwani wapo JKT....
Taifa lenyewe limejaa wahuni na matapeli mnataka muwatese watoto wetu.
Maskini umeamua kujitutumua, huna lolote kapuku wewe.Baba zenu walisomaaa kwa shidaa wakawasomesha kwa shidaa mnataka kurithishaa laana zenu kwa watotoo wenuuu shenzikabisaa sio kwa wanangu lol...wanangu awawezisoma kwa shida niliyopitia awawzi soma shule za aina hizo lou
Mleta mada ni wale watoto wa English medium mkate na siagi hawajui hizi pilika pilika ndio maana wanashangaa. Sasa angekuta wameambiwa wachimbe visiki ingekuwaje.Kawaida tu na ww mbona unakuwa boya hivi si kazi za kawaida hizo shuleni.... na wewe uliandika huu uzi ni mtu mzima mayai..