Afisa Elimu Ilala, DC Ilala fuatilieni Shule maeneo ya Vituka, Watoto wanabebeshwa Matofali na Michanga kwa ajili ya Ujenzi

Ulitaka nani abebe hizo tofali na huo mchanga?wazazi?
Natamani kila shule ingekuwa na mashamba makubwa na miradi,ili madogo wafundishwe kazi.
Wakihitimu waweze kujitegemea
 
Wapuuzi hawaa walaa usiwajibu....
 
Ulitaka nani abebe hizo tofali na huo mchanga?wazazi?
Natamani kila shule ingekuwa na mashamba makubwa na miradi,ili madogo wafundishwe kazi.
Wakihitimu waweze kujitegemea
Baba zenu walisomaaa kwa shidaa wakawasomesha kwa shidaa mnataka kurithishaa laana zenu kwa watotoo wenuuu shenzikabisaa sio kwa wanangu lol...wanangu awawezisoma kwa shida niliyopitia awawzi soma shule za aina hizo lou
 
shenzi zako, njoo umchukue mwanao umpeleke feza boys,
 
Ulitaka nani abebe hizo tofali na huo mchanga?wazazi?
Natamani kila shule ingekuwa na mashamba makubwa na miradi,ili madogo wafundishwe kazi.
Wakihitimu waweze kujitegemea
kabisa, kwanza shule inabidi zihamishiwe nje ya mji, humu mjini zibadi yard za maroli, safi sana temeke kuhamisha shule ya kurasini na kugeuza yard za makontena, unapita na semi kitoto kinabinua matako,
 
Mama Abdul mitano tena!!
 
Maskini KWENYE Yale MAbilioni yalio kwapuliwa yangetumika VIZURI HII fedheha isinge kuwepo
 
Ni primary au secondary?
 
Ni makomandoo hao acha waendelee naafunzo
 
Reactions: K11
Tatizo utakuta mkandarasi analipwa hela zote hadi za vibarua halafu wanafanya uhuni wa kubana matumizi kwa kuwafanyisha kazi watoto. Watanzania mkumbuke Tanzania ya leo sio ya miaka iliyopita. Baba yangu akiwa Ilboru sec mwaka 1975 - 78 walifanyishwa kazi wakati wa ujenzi wa Sheikh Amri Abeid Stadium. Shule zote za Arusha mjini zilishiriki. Ila kwa sasa tuko kwenye zama zingine.
 
Shule siyo kusoma tu
Shule ni pamoja na kujifunza kazi kwa vitendo. Na kwa mtaala wa sasa, kuna mkondo wa amali
 
Reactions: K11
Baba zenu walisomaaa kwa shidaa wakawasomesha kwa shidaa mnataka kurithishaa laana zenu kwa watotoo wenuuu shenzikabisaa sio kwa wanangu lol...wanangu awawezisoma kwa shida niliyopitia awawzi soma shule za aina hizo lou
Maskini umeamua kujitutumua, huna lolote kapuku wewe.
 
Kawaida tu na ww mbona unakuwa boya hivi si kazi za kawaida hizo shuleni.... na wewe uliandika huu uzi ni mtu mzima mayai..
Mleta mada ni wale watoto wa English medium mkate na siagi hawajui hizi pilika pilika ndio maana wanashangaa. Sasa angekuta wameambiwa wachimbe visiki ingekuwaje.

Ujenzi wa hizi shule unatumia mfumo wa Force Account hivyo hiyo ni kawaida tu.

Na pia ni sehemu ya stad za maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…