Tetesi: Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum

Kuna wanawake wana majibu ya karaha sana.

Pongezi kwa Afisa Elimu katumia busara kubwa kumuweka lockup badala ya kufanya jambo baya.

Mpaka mtu anawekwa lockup kuna mengi mengine yamejiri
Huu nao ni ukaraa,sasa jibu linahusiana vipi na kuweka mtu lock up,ni ukosefu wa busara na weledi wa nidhamu ya kiuongozi,sasa Kama wewe afisaa unaburuzwa kwa kutotambua wigo wa majukumu yako unataka nawe kuwaburuza walio chini yako,inawezekana mama mjane yuko vizuri anajitambua nakufahamu boss wake ni kilaza kwanii asimfahamishe,viongozi siokila mnalopewa mlitekeleze nmapaswa kulibeba Kama lilivyo mengine muyapime kwanza msije dhalilika mbeleni



http
 
Mwalimu alileta ujuaji hivi ratiba ya mitihani si ipo si angeangalia akajua mitihani inafanyika siku ngapi

Nampongeza afisa elimu kumshikisha adabu uyo madam kuna mda walimu mnakuwa wajuaji sana kwa vitu ambavyo vipo wazi na vinajieleza, tangu lini barua ya kazi maalumu inasema stahiki zako ni zipi

Mambo mengine walimu mnajitakia
 
Kuna wanawake wana majibu ya karaha sana.

Pongezi kwa Afisa Elimu katumia busara kubwa kumuweka lockup badala ya kufanya jambo baya.

Mpaka mtu anawekwa lockup kuna mengi mengine yamejiri
Hii kitu ya mtu kama afisa elimu au ofisa wa serikali kumuweka mtu ndani bila kibali cha mahakama kisheria ikoje? au swali rahisi ni nani ana uwezo wa kumuweka mtu ndani au sheria inasemaje kwa ujumla kuhusu mtu kuwekwa ndani (utaratibu na nani mwenye mamlaka), inaonekana bado tunaishi na sheria za kikoloni
 
Nampa pole huyu mwalimu, lakini siamini kama afisa elimu kafikia hatua hiyo bila sababu za msingi, lakini hizo nafasi za kusimamia mitihani wengi wanazililia ukiona umeipata lakini ukanusa harufu ya kutotendewa haki basi ni vyema kujitoa kuliko kuanza kuhoji mambo ambayo yanaweza kukupeka kwenye matatizo.....dunia haijawahi kuwa sawa na haitatokea kamwe kuwa sawa...kuna mengi ukiyajua wala huwezi kusumbuka
 
Huko umeenda mbali. Cha msingi mwaliku yupo sehemu salama.

Kitendo cha mwalimu kuwekwa lockup ni ishara ya kushindikana
 
Acha aonje joto ya kugoma
 
Afisa elimu sekondari manispaa ta moshi siyo mwanaume huo mfumo dume unatoka wapi ni mwanamke kama huyo aliyenyanyaswa
Wee nani kakuambia mfumo dume ni lazima usababishwe na mwanaume pekee. Kwa ufahamisho wako unyanyasaji mkubwa unafanywa na wanawake waliozoea ukandamizaji huu. The oppressed normally becomes a notorious oppressor!. Jifunze maana ya mfumo!
 
Afisa elimu hana mamlaka ya kumuweka mtu lockup.
Mkuu wa wilaya na mtendaji kata na kijiji ndio wanayo hayo mamlaka..

Itakuwa afisa elimu ameona kosa kwa mwalimu na afisa usalama aliyeko kwenye msafara wa mtihani akamtia hatiani
 
Suala hili lifuatiliwe ila acha kutumia neno mjane maana hata angekuwa na mume kwan angefanyaje?
 
Wengi wa mnaoshtakiana JF ni walimu.Hivi mna matatizo gani wapendwa wetu?
 
Tangu lini Afisa Elimu akamiliki chombo Cha dola? Aliwezaje kumuamuru Kamanda wa Polisi wa Wilaya?
Hawa police wa Wambura na Kingai unategemea nini!? Wao wanafanya kazi kwa MAZOEA tu na kuegemea mazingira. Usije shangaa wakati wanaamrishwa na huyo afisa elimu waliompigia na saluti.
 
umeonaa eeh! hauwezi kuhukumu kwa kusikiliza pande moja tu🙏
 
mleta mada hii stori umesimuliwa au upo moshi maana unaemzungumzia kama afisa elimu ni mwanamke labda afisa elimu msingi ndio mwanaume sasa huo mfumo dume unaingiaje hapo.

Nijuavyo kuna kanuni za uongozi na kutambua cheo cha juu yako hivyo mpka mtu anawekwa chini ya uangalizi wa polisi kuna namna wamekoseana.

ushauri kwa mleta mada ni kwamba kama ww umeweza kuliona hilo swala na likawa ni makosa ya afisa elimu bas litashughulikiwa kwakua hata wakuu washaliona ila unatuchanganya kusema afisa elimu ni mwanaume labda moshi nyingine huenda ikawa moshi wa sigara
 
Huu ndio ujinga wa kupita kiasi kama haya ni kweli. Afisa wa elimu sekondari ana power gani ya kuamrisha jeshi la polisi limuweke ndani mtu yeyote yule? Huu ni ujinga wa kupita kiasi na ni aibu sana tu.
 
Kuna wanawake wana majibu ya karaha sana.

Pongezi kwa Afisa Elimu katumia busara kubwa kumuweka lockup badala ya kufanya jambo baya.

Mpaka mtu anawekwa lockup kuna mengi mengine yamejiri
Ni kwa kutumia sheria gani afisa alimu ameweza kutoa amri kwa jombo cha dola kumeweka mtu jela au hiyo unayoiita wewe lockup? Huo ni ujinga ni inasikitisha kuona kuwa kuna watu hawaoni hapo kuwa watu wanatumia madaraka yao ovyo na polisi kama chombo cha dola kinaendeshwa na watu wasiojua sheria. Toka lini afisa wa elimu akawa anaamrish polisi cha kufanya?
 
Kilio na kituko hiki kimetokea Moshi Manispaa tarehe 31.10.2022.

Afisaelimu sekondari alipata nafasi hiyo kwa mchongo mkubwa na alikuwa mwalimu wa msingi ila cha kushangaza kateuliwa kuwa afisaelimu sekondari.

Tamisemi ukiwa na fedha vyeo unanunua na unapewa na hutakuwa na uchungu na watumishi kwa sababu cheo ulikinunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…