Mtapata viongozi wapya lakini wachezaji wale wale waliocheza na Gor Mahia, maana hakutakuwa na nafasi ya kufanya usajili. Sana sana hata wengine waliocheza juzi watapungua, maana kuna waliojitolea kucheza bila kuwa na mkatabaWajiuzulu wote ,tufanye uchaguzi tuanze upya.
Inaweza kutokea mkuu,kwa mzaha huu ninaouona sioni mwanga mbele ya safari.Yanga itashuka daraja 2018/2019
lakini usisahau klabu ilipo huenda ni UTI, Malaria, Kichocho ama any related to locationyani wote wana jiudhuru kwa kuwa na matatizo ya kiafya... jamani hii sio kweli, afya afya afya... basi yanga wawekeze katika afya ya akili ili viongozi wao wapate kunufaika na hili suala la afya...
Bin Kleb afya, manji afya, ten afya, mkwasa afya, yule mwingine afya... aiseee itakuwa afya ya akili...