Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe anaendekeza Ukabila. Kati ya wafanyakazi 19 wanaolipwa Mishahara na CHADEMA 9 wanatoka Killimanjaro

Lazima tumwambie Mapema Mwenyekiti wetu Mtarajiwa TUNDU ANTIPASI LISSU , kuwa hii Propanganda ambayo tunapigwa ya muda mrefu tuifute kwa kuja na mkakati mpya wa upatikanaji wa wakurugenzi na watumishi wa Makao Makuu wenye sura ya Kitaifa zaidi
Je na Lissu akishinda japo ni almost impossible na yeye akaanza kujaza Wanyaturu na Wanyiramba?! Ni nini kifanyike ili kuzuia Ukabila na Udini kwenye Chama chetu cha CHADEMA na Tanzania kwa ujumla?!
 
Nchi imejaa watu wanachuki sana..

Bila siasa za hivi watu wazima hawawez kulisha familia,

Embu twambie utaratibu wa ajira hapo HQ upoje?

Wachaga wapo zaid ya Mil 3 nchi nzima, ni asilimia ngapi hiyo unayozungumzia?

Hao Covid ni CCM?

Hizi ny@g na wachaga sijiu huwa mnazitoa wapi kila siku..

Wachaga wanafaidi zaid CCM maana ina Mawaziri wawili mpaka sasa...
Na wabunge wote mkoa wa KLM ni wa CCM ..
 
Mnaweza kufanya kampeni bila kuchafua mtu, Mbowe hana uwezo wa kuamua lolote bila Kamati Kuu, kuweni na Utu kidogo
Huu mpasuko uliopo sasa kausababisha mbowe na machawa wake, nadhani ilikua busara sana, angestaafu kulinda heshima yake.
 
Wachaga ni noma,wale covid19 wameweka mahawara zao ili wapige dili.

Unaaminije chama kutimua covid 19 wakati wameweka mademu zao.

Mbowe kuokoa chama baada ya kushinda atawarudisha covid 19 wote
 
Bila mbowe kukaa pembeni chadema, Bado kutaendelea kuwa na uchafu mwingi Sana chadema, mbowe ameendekeza uzoefu Sana badala na taratibu na kanuni zinazopaswa kuendeshwa taasisi.Nawaomba Sana wale wanaopenda mabadiliko kupitia chadema, tupambane kumwombea kura lissu, nje ya lissu hakuna jipya chadema
 
Kabla ya kuhoji ya Chadema na wachaga, njoo TRA uone utitiri wa wachaga walivyojaa, utadhani ni taasisi yao. Sijui hili nalo likoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…