TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Shida kama alikuwa anavunja ndoa za watu. Anyway, polisi watatupa mwelekeo
Hamna kitu, hii inawezekana ni mbinu ya serekale ya kuwatisha watu, kuchochea chuki na kuleta confusion miongoni mwa watu.

Hizi ndio mbinu zao siku zote, na kwa sababu pia hakuna SHERIA inayozuia usagaji nchini, kwahiyo wameamua kupita mlango wa nyuma ili kuchochea habari za ushoga na kuleta taharuki.

Majizi yanapeta tu, huku watu wasio na hatia wanaangamizwa na kutumiwa kama chaka la kuficha maovu ya majizi.
 
Bora wee umesemaa, kuna habari imepostiwa sio mda Fb kwa Fahari media,

Mlinzi wa eneo ktk frem 7 ameuawa na frem zimevunjwa watu wameibaa Mali.

Huko Geita, matukio ni kawaida.
Geita imeshachukuwa nafasi iliyokuwa inashiliwa Tarime , matukio ya mauaji na ukatili
 
Unahisi? Au ndivyo walivyosema? Majitu mengine huwa hamjui kujieleza! Wewe unaona kabisa habari inasema mfanyakazi wa GGM wewe unasema unahisi?
Mkuu we ndo unashida tuliokuwa na huu Uzi tangia asubuhi ndo tunaelewa,
Kipindi unaletwa ulikuwa kama tetesi ukapitia ups and downs nyingi Sana nahisi ungeachwa vilevile now ungekuwa na page buku
 
Duh ! Hapa kuna syndicate imefanya huo umafia ,huyu bidada alijichanganya kwa wahuni wa hapo Geita ,aliingia cha kiume
 
ni machukizo makubwa sana, MUNGU azidi kuilinda jamii yetu kwa ujumla.
kuna watu wadai eti ni haki inashangaza kwa kweli
Hakuna cha haki hiyo ndo haki alokuwa akiitafuta ameipata.
Mungu kaumba mwanaume na mwanamke afu mwanamke anajifanya mwanaume lazima aonje adhabu ya Mungu.
Hilo tukio la mauaji ni unyama na uhalifu, hakuna adhabu ya Mungu hapo.

Unapinga dhambi ya usagaji huku unashangilia dhambi ya mauaji, huo ni unafiki.
 
Na ulimbukeni ni tatizo sana ,utakuta bidada kakulia maisha ya kifukara sana sasa kupata vichenji ndio kuamua kuvunga mbabe na tabia za ovyo ovyo ,anastahili alichopata ,tena sehemu yenyewe Geita ,lazima wamnyooshe
 
Machukizo ni nini au mnajitungia tu maneno?

Machukizo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe ushindwe kula ugali unawaza machukizo ya watu kusagana?

Ukichaa tu, hakuna lolote.
Hivi unajua masaibu ya kusaga wake za watu? Huo ndio mshahara alikuwa anautafuta! Yaani usage wake zetu wafike home hata hawana hamu za sisi tukuache hivi hivi? Wahuni wa Geita wamefanya yao!
 
Eti hakuna sheria kama hujui uliza

USSR
 
2019 tu tulikuwa na wakina paul kabogi mwamba fulan hivi Bonge la mtu yani sema yupo poa sana jamaa katembea nchi zote za G20
Pale mwaka 2014 department ya Mining tukiwa field kuna
Mwana aliitwa Paul Nesphol mchaga mmoja akiwa Superintendent sijui bado yuko? Miaka hiyo tuliamini maisha/kupata kazi migodini ni vyepesi kumbe ni kunyume chake.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…